Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

Dereva gari la serikali alewa na kusababisha ajali

Saana bongo si wanatamani jamaa afukuzwe kazi wawe pamoja mtaani wakiua Kingi..
Afukuzwe tu

Usalama wake, anaowaendesha, wanaotumia vyombo vya moto barabarani na watembea kwa miguu uko hatarini

Akiachwa anaweza kuleta maafa makubwa zaidi ya hayo.

Shenzi sana kabisa huyo
 
Pombe ni kama bangi tu. Huwa zinachagua watu na watu. Zikikupenda, no problem! Zikikuchukia, lazima zikuletee aibu na fedheha.
 
Yan hawa chalii wetu bhana, imekuwa trend sasa yan wanavunja sheria kwa makusudi kabisaa, bila hata kujali wala kuogopa, hawa bhana sheria ipo chini yao, hata traffic hawajui wajibu wao kuwashughulikia na wanasababisha ajali sanaa.

Mfano hii video ni Dereva wa serikali akiwa amelewa chakarii na anaendesha gari, unaweza waza amepita traffic wangapi na amepataje gari akiwa amelewa. Tujifunze kitu kuhusu uwajibikaji hapa


 
Wao nao ni viongozi wa madereva wote nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madereva wa serikali wengi ni hopeless
Wakisha kuwa na ST wana dhani wako juu ya sheria. Leo karibu gari STM landcruised karibu anigonge kwa ivertaking ya kioumbavj. Ati ana muwahi boss wake kalala SG hotel Arusha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya video zinazosambaa mtandaoni ni dereva wa gari la serikali akiwa amelewa chakari na kusababisha ajali ya kugonga bodaboda.

Baadhi ya mashuhuda wamemuuliza kwanini amelewa na ni dereva wa serikali ambapo amekiri kweli kuwa amelewa.
Kama serikali ya raisi Samia inaendeshwa kilevi namna hii, kwa nini madereva wa magari ya serikali wasiendeshe wakiwa wamelewa? Wanaiga mfano wa uongozi wa serikali, waacheni msiwasumbue. Siku mkikataa serikali kuendeshwa kilevi hata madereva wataacha kuendesha magari kilevi.
 
Dereva wacha vituko weeeeh hacha kuna kawimbo ka TBC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom