Dereva Kasuka Makulu: LATRA wanatuvuruga sana, na tunachokiomba sisi madereva swala letu la pointi lifutwe

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.”

"Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa kama jalala hatudhaminiwi ndani ya hii nchi, tumekuwa kama mtoto yatima..."

"Leo mheshimiwa waziri LATRA ameanza kufanyisha madereva mitihani... hicho chuo alikifungua mwaka gani dereva akaenda chuo? Huyo huyo LATRA anafungua chuo anasema makondakta waende shule. Hicho chuo cha makondakta alikifungulia wapi?"

LATRA imekuwa gumzo Tanzania... LATRA ndio anataka kuvuruga madereva mheshimiwa waziri.

"Leo mheshimiwa waziri LRA ameanza kufanyisha madereva mitihani hoo hicho chuo alikifungua mwaka gani dereva akaenda chuo? Huyu chuo anasema makond waende shule..."

"LATRA ndio wana hawaeleweki lata ndio anataka kuvuruga madereva mheshimiwa wazir

Your browser is not able to display this video.
 
LATRA inataka kukusanya pesa bila jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…