Acha kuonyesha upumbavu wako hapa, ukaguzi ni muhimu mno hasa basic things kama kuangalia uvunguni mwa gari yako kabla ya kuondoka na hili lifanyike kila unapotaka kuondoa gari, kunaweza kukawa na mnyama au mtoto chini ya garinyie mnazungumzia magari ya kizamani, hizi gari za kisasa hazina mambo hayo, radiator inawekwa coolant ambayo inakaa zaidi ya mwaka