Acha kuonyesha upumbavu wako hapa, ukaguzi ni muhimu mno hasa basic things kama kuangalia uvunguni mwa gari yako kabla ya kuondoka na hili lifanyike kila unapotaka kuondoa gari, kunaweza kukawa na mnyama au mtoto chini ya garinyie mnazungumzia magari ya kizamani, hizi gari za kisasa hazina mambo hayo, radiator inawekwa coolant ambayo inakaa zaidi ya mwaka
sawa mjinga,Acha kuonyesha upumbavu wako hapa, ukaguzi ni muhimu mno hasa basic things kama kuangalia uvunguni mwa gari yako kabla ya kuondoka na hili lifanyike kila unapotaka kuondoa gari, kunaweza kukawa na mnyama au mtoto chini ya gari
Kuna mambo ya muhimu sana umeyasahau mkuu....
Wewe umetukumbusha kitu inaitwa "pre atsart checklist and safe drive.
Bahati mbaya umesahau mapungufu ya kibinadamu kama:-
1. Don't drink and drive
2. Lala mapema
3. Out off stress
4. Usitumie sim
5. Usisikilize maelekezo ya mwingine wakati unaendesha, tumia akili na maarifa.
Huo muda wa kukagua kagua kama VAR ya CAF nani anao?Dereva makini unatakiwa kabla ya kuliondosha au kuwasha gari lako ufanye mambo haya:...
Usipokuwa makini, unaweza kukuta nut za kufungia tairi zimelegezwa; ile unachochea moto unashangaa ajali, pamoja na kutangulia mbinguni.Huo muda wa kukagua kagua kama VAR ya CAF nani anao?
Nielekeze duka wanalouza coolant galon ya lita 5 kwa elfu kumi. Huku ninapoishi nanunua kwa elfu25 mpaka 30.unanunua galon la Lita 5 kwa elfu kumi unatumia mpaka unachoka. shida watu mpaka leo wanaweka maji ya mfereji, au maji ya chupa , makosa
Ilinitokea hii, nut zililegea, stud zikakata na tairi ilichomoka. Pona pona yangu nilikua speed ndogo na tairi ilichomoka ya nyuma upande wangu.Usipokuwa makini, unaweza kukuta nut za kufungia tairi zimelegezwa; ile unachochea moto unashangaa ajali, pamoja na kutangulia mbinguni.
Mungu wetu mwema akutunze mkuu, umejazia pale nilipo pungukiwa..😊Zile zilikuwa upande wa chombo husika, hizi ulizozielezea ni kwa dereva husika (mtu anayetaka kutumia chombo awe na sifa zipi); zote ni za muhimu kwa sababu lengo ni kuepusha ajali kwa mtumia chombo pamoja na watumia barabara wengine.
Wajapan wa magomen wamekataaWajerumani wanasema hivi, Hayo mambo yote wanamaliza kwenye dashboard.