Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,259
Reaction score
10,078
Habari ndugu?
Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100.
Karibu Pm.

NITALIPIA
 
Sawa Sawa
Vp Kutoka Mpeta Mpaka Uvinza Maendeleo Ya Uwekaji Lami
 
Njia ina magari mengi sana hiyo huko huko ulipo washirikishe watu wawili watatu unapata gari chap alafu mzigo mdogo wanakubebea tu bila usumbufu hapa jf unajichelewesha kuanza safari tu
 
Njia ina magari mengi sana hiyo huko huko ulipo washirikishe watu wawili watatu unapata gari chap alafu mzigo mdogo wanakubebea tu bila usumbufu hapa jf unajichelewesha kuanza safari tu
Sina watu wengi huku mkuu. Mimi nipo Morogoro kwasasa.
 
Back
Top Bottom