Dereva Mtanzania akutwa na maambukizi ya COVID 19 kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda

Dereva Mtanzania akutwa na maambukizi ya COVID 19 kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Wizara ya afya nchini Uganda imeripoti kisa kimoja cha maambukizi ya COVID 19 kama jinsi ambavyo inaonekana hapa chini.

Je, alipitaje hadi kufika ndani ya Uganda na ndipo akachukuliwa vipimo akiwa huko? Bado tuna kazi kubwa.

=======

Authorities in Uganda are tracking a Tanzanian driver who tested positive for COVID-19 at the common border point of Mutukula.

A statement issued by the Ministry of Health on Friday night said a 34-year-old Tanzanian truck driver was tested and his results came out positive.

“Efforts are underway to track the driver and return him to Tanzania,” the ministry said.

The ministry said although the truck driver who arrived at the border from Dar Es Salaam did not show any symptoms of the virus, he tested positive.

“The Ministry of Health confirms one new COVID-19 case of the 744 samples tested among truck drivers at border points of entry,” the statement from the ministry said.

“A further 376 samples from individuals under institutional quarantine and contacts in the country tested were all negative,” the ministry added.

A total of 1,120 samples were tested on Friday, the ministry said.

“This corrects the earlier information sent on social media that the positive case was from the community,” the ministry clarified.

President Yoweri Museveni on Tuesday announced that the frontline for COVID-19 was shifting to the border points, with the main target being the cargo transporters.

He said the transporters should be tested and allowed to proceed as they waited for the results to come out.

The President added that this group of people should not be allowed to interact with the community but should live at designated places.

Museveni said the same should apply to air, water and railway cargo crew members.

The Government was for instance able to trace two truck drivers who tested positive to the virus earlier this week.

Uganda has so far registered 55 COVID-19 cases, with no single death.

Ug 1.jpg

Source: New Vision
 
Huku Tanzania vipimo bado havijawa vyakutosha labda, haiwezekani mtu anasafiri hadi mpakani ndiyo anashtukiwa kua ana COVID19.

Tutaisha kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Tz inajua watu wake wengi wana Corona lakini inawaachia wazurure hata kwenda nchi nyingine.

Alisikika mlevi mmoja wa Kenya akisema hayo.
 
Serikali ya Uganda visa ilivyokuwa imetangaza kuwa imefika 56 wamekosea baada ya kugundua aliyegundulika ni mtanzania dereva wa malori kutoka Tanzania hivyo idadi ya maambukizi yanabaki 55

Uganda imesema wanafanya mpango kumrejesha huyo mgonjwa Tanzania.

FB_IMG_1587188774416.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaielewa Uganda? Hakuna ndani Bali ni mpakan kabla ya kuingia Uganda ,panaitwa mtukula,wilaya ya misenyi mkuu
Wizara ya afya nchini Uganda imeripoti kisa kimoja cha maambukizi ya COVID 19 kama jinsi ambavyo inaonekana hapa chini.
View attachment 1422242

Je alipitaje hadi kufika ndani ya Uganda na ndipo akachukuliwa vipimo akiwa huko? Bado tuna kazi kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Uganda wakimhesabia huyo mgonjwa kwao wanapungukiwa nini?.Mbona Tanzania wanataja idadi kwa ujumla huku wakibainisha uraia wao!

Na sisi tukianza kuwarudisha wagonjwa wa mataifa mengine badala ya kuwashikilia na kuwatibu tutakuwa tunapunguza au tunaongeza tatizo?

Sijawaelewa kabisa.
 
Huku Tz vipimo bado havijawa vyakutosha labda, haiwezekani mtu anasafiri hadi mpakani ndiyo anashtukiwa kua ana COVID19.
Tutaisha kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitakiwa mizani zote ziwe na vipimo vya korona,sasa trafiki wangapi na watumishi wa minzani na wafanyabiashara waliokutana naye wana corona
 
Kwani Uganda wakimhesabia huyo mgonjwa kwao wanapungukiwa nini?.Mbona Tanzania wanataja idadi kwa ujumla huku wakibainisha uraia wao!

Na sisi tukianza kuwarudisha wagonjwa wa mataifa mengine badala ya kuwashikilia na kuwatibu tutakuwa tunapunguza au tunaongeza tatizo?

Sijawaelewa kabisa.
Watuletee tu mgonjwa wetu quarantine zetu zinaubora kwani kwa maneno ya Mh. Waziri Umi, wagonjwa wetu wanapiga push up na kufurahi quarantine ni wa nne tu ndio wana hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Uganda wakimhesabia huyo mgonjwa kwao wanapungukiwa nini?.Mbona Tanzania wanataja idadi kwa ujumla huku wakibainisha uraia wao!
Na sisi tukianza kuwarudisha wagonjwa wa mataifa mengine badala ya kuwashikilia na kuwatibu tutakuwa tunapunguza au tunaongeza tatizo?
Sijawaelewa kabisa.

mtawarejesha kwa miguuu, kwani pana ndege zinaruka tofauti na za mizigo!? na kunamipaka wazi zaidi ya mizigo?!
 
Kwani Uganda wakimhesabia huyo mgonjwa kwao wanapungukiwa nini?.Mbona Tanzania wanataja idadi kwa ujumla huku wakibainisha uraia wao!
Na sisi tukianza kuwarudisha wagonjwa wa mataifa mengine badala ya kuwashikilia na kuwatibu tutakuwa tunapunguza au tunaongeza tatizo?
Sijawaelewa kabisa.
Huyo katoka nao Dar wamepimiwa mpakani kabla ya kuruhusiwa kuingia Uganda. Sasa unataka wambebe wakamtibie Uganda? Tumia ufahamu utagundua kuwa Uganda wapo sahihi.
 
#COVIDー19

#Uganda imetangaza kisa komoja cha maambukizi ya virusi vya corona ambapo muathirika ni dereva wa lori (34), raia wa #Tanzania aliyewasili katika mpaka wa Mutukula Aprili 16 akitokea Dar es Salaam. Jitihada za kumtafuta dereva huyo na kumrejesha Tanzania zinaendendea.

Wizara ya Afya Uganda imesema idadi ya visa vya corona uganda imebaki 55 kwakuwa idadi ya visa 56 ambayo waliitoa jana ilikuwa na makosa na kusema mgonjwa mpya sio Raia wa Uganda kama walivyosema awali bali ni Mtanzania (Dereva) na wanakamilisha mipango ya kumrejesha Tanzania.
• •
“Mgonjwa mpya ni Mtanzania (34), Dereva wa Lori kutoka DSM ambaye alifika mpaka wa Mutukula April 16,2020, tulipopima sampuli 744 za Madereva mpakani yeye akakutwa na corona, tunamfuatilia ili kumrudisha Tanzania, kwahiyo idadi ya visa Uganda imebaki 55”-WIZARA YA AFYA UGANDA
#MillardAyoCORONATZ

FB_IMG_1587190367397.jpg
 
Huyo katoka nao Dar wamepimiwa mpakani kabla ya kuruhusiwa kuingia Uganda. Sasa unataka wambebe wakamtibie Uganda? Tumia ufahamu utagundua kuwa Uganda wapo sahihi.
Sasa kama hajifika Uganda walimhesabuje mgonjwa upande wao kama hajavuka?
 
Back
Top Bottom