Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tulivyowabishi unafikiri watanzania tutakubali mara moja bila kulazimishwa😂Mbona hii habari tumeipata tangu juzi
Naona majirani watatufungia mipaka kwa uzembe wetu.😂 hivi inawezekana tukawa ni kitovu cha hili dubwana koro! Maana Yule alipatikana kenya positive na huyu wa Uganda positive 😅 dah! Au sisi miili yetu ni hifadhi ya vijidudu hivyo maana hatuna hata muda!
Hebu tuacheni tutembee hakuna namna
Mie natembea tu mkuu....!tufe ndani ?😂 hivi inawezekana tukawa ni kitovu cha hili dubwana koro! Maana Yule alipatikana kenya positive na huyu wa Uganda positive 😅 dah! Au sisi miili yetu ni hifadhi ya vijidudu hivyo maana hatuna hata muda!
Hebu tuacheni tutembee hakuna namna
Siwezi kukubali..Mie natembea tu mkuu....!tufe ndani ?
Na tuna stock ya kutosha kwa wale wanaotaka extra packagesTanzania sasa hivi ndio main supplier wa ukanda huu wa maziwa makuu.
Sent using Jamii Forums mobile app