Dereva Mtanzania akutwa na maambukizi ya COVID 19 kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda

Hapo umesahau alilala na nani!
na Huyo nani yuko wapi!?
 
Mm naona vipima joto visambazwe kila wilaya ili kuwe na mass testing ili kuwanginga wanaoingia au kutoka
 
Kwahio Data za Tanzania zina Plus One? Na wanamrudisha ili iweje si wamtibu ili apone alafu ndio arudi? Au tunaanza kuwa-treat binadamu kama commodities.
Siku nyingine ucomment kwa kutumua akili, mseven kajibana kasitisha kila kitu, kuzuia maambukizi sisi tz tupo no inazidi kuongezeka, leo mgonjwa wenu akatibiwe Uganda.? Hapana ningekuwa mm ningemrudisha Siku hiyo hiyo.
 
Ni vigumu sana kuzuia huu ugonjwa sio kama mnavyofikia wengi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Siku nyingine ucomment kwa kutumua akili, mseven kajibana kasitisha kila kitu, kuzuia maambukizi sisi tz tupo no inazidi kuongezeka, leo mgonjwa wenu akatibiwe Uganda.? Hapana ningekuwa mm ningemrudisha Siku hiyo hiyo.
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake..., ugonjwa huu upo kila nchi, ugonjwa huu unaambukiza kwa watu kukaribiana.., kama mtu tayari yupo quarantine ameshapimwa kumrudisha huoni ni kuendelea kuambukiza watu katika process za kuhama?

Hii issue haina nani kapata wapi au ni wa wapi akigundulika hekima inasema atibiwe unless otherwise ni kuzuia raia mtu wa aina yoyote kutoka point A kwenda B, au kuruhusu tu mizigo ipelekwe mpaka boda alafu madereva wa kule ambao wameshapimwa ndio wachukue hizo bidhaa..., Hii issue inahitaji hekima sio tu ni janga la kidunia bali ikichukuliwa poa inaweza kuleta hata diplomatic arguments...
 
its horrible..
 
SATURDAY APRIL 18 2020


A Tanzanian cargo truck driver who tested positive for covid-19 will be repatriated to his home country to receive treatment, according to Ms Robinah Nabbanja, the State Minister of Health in charge of general duties.

Dr Edward Muwanga, the Kyotera District health officer said that the driver’s nasal swab sample was taken on arrival at the border and was allowed to drive on on Thursday

"When the results returned on Friday and it was confirmed that he is positive, we used the established channels to trace him and he was intercepted in Kiryandongo District," he said.

Dr Muwanga said that they are tracing all his contracts to have them tested.
This follows intensified effort by health teams in Kyotera District together with Ministry of Health staff to test the truckers in order to curb the spread of covid-19 in Uganda.

So far, the teams have drawn nasal swab samples from 130 truck drivers and their turn boys who enter the country through Mutukula Border Post, to curb the spread of the coronavirus virus.

Source
Covid-19 positive truck driver to be deported to Tanzania

My take
-Uganda was smart enough to act on timely manner to alleviate the spread of Covid 19 in their country.
-Scientists in Uganda have invented locally made and cheap Covid 19 test kits

source
Ugandan scientists develop quick, low-cost COVID-19 test kits - Alliance for Science

-So far its people are in the curfew trying to curb the spread. This is since March 31, 2020.
-Many people are being tested on daily basis.

Questions to ask our Tanzanian government
1. How many people are being tested on daily basis? why this question? our neighbours are testing around 1,000 a day and that is why they seem to have a bigger number of positive people. If we are testing 50 people a day, can we sensibly say that we have lesser figures?

2. If a common mwananchi accesses the daily report issued by the panel of physicians to Ummy Mwalimu, and later on that same mwananchi finds a huge discrepancy between the original report from the panel of physicians and the massaged report from Ummy to the public, is he protected under the Whistleblowing Act?

3. How many ventilators do we have countrywide? there countries in Africa with fewer ventilators.

source
10 African Countries Have No Ventilators. That’s Only Part of the Problem.



I believe a crime has not been perpetrated if we ask these questions
 
Dereva huyo wa lorry kutoka Tanzania ambaye vipimo vilionesha kuwa ni positive kwa Corona atarudishwa Tanzania kwa ajili ya matibabu. Aliyasema hayo Bi. Robinah Nabbanja, Waziri wa Afya mwenye dhamana dhidi ya Corona.

Naye Dr Edward Muwanga, Afisa Afya wa wilaya Kyotera alisema kuwa sampuli za dereva huyo zilichukuliwa mpakani siku ya Alhamisi.

When the results returned on Friday and it was confirmed that he is positive, we used the established channels to trace him and he was intercepted in Kiryandongo District," he said.


Dr Muwanga aliongeza kuwa wawafatilia watu wote aliokutana nao wakati akiwa Uganda

Hii inafatia jitihada za ofisi ya afya katika wilaya hiyo kwa kushirikiana na wizara ya afya nchini humo kuwapima madereva wote wa malori yaingiayo nchini humo.

Source: Daily Monitor, Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…