Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kumbe uchawa deal ndo maana hamuachi.Bosi wake angekuwa Chawa serikali ingemsaidia
Sorry mkuu huo msemo "BUANA" umekaa vibaya sana kutumiwa na mtoto wa kiume.....Basi buana kama serikali haina ubalozi inaruhusu vp watu wake waende Sudan Kusini ?
haya manchi mengine yana laana, ukiona Rais anajikojolea amesimama ujue ni tatizo. Mtu anatesa wapinzani wake kwa kuwafunga, kuwapiga na kuwaua, kisha anasema uchaguzi huru, haki na wa amaniTraffic case ngumu kiasi hicho!
Huko hakufai kupeleka gari yako.
Mke wa dereva huyo, Rehema Godfrey Mongi (38) alinukuliwa akisema awali Familia ya marehemu ilitaka faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100 lakini baada ya kuombwa na Mwanasheria wamekubali kupunguza, na kwamba kama itapatikana Tsh. milioni 36 wapo tayari kumuachia Maganga bila gari “Mmiliki wa gari yeye amesema hana hela kwa sasa yupo tayari kusamehe gari.”Dereva Mtanzania aliyekuwa akiendesha lori, Juma Ally Maganga (45) ambaye alikuwa akishikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini kwa tuhuma za kugonga mtu na kusababisha kifo cha mtu huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani.
Taarifa kutoka kwa mmiliki wa Lori alilokuwa akiendesha Gabriel John Kiliki ameonesha nyaraka inayoonesha hukumu ya Maganga imeanza 14/02/2025 pamoja na kwamba anatakiwa kulipa faini mbalimbali.
Awali, familia ya dereva huyo iliyopo Tanzania ilieleza kuwa walijulishwa kutoka Sudan kuwa aliyegongwa alikuwa akiendesha pikipiki na kupoteza maisha papohapo ambapo Familia ya marehemu na kwamba imesema ili Mtanzania huyo aachiwe pamoja na gari inatakiwa ilipwe faini ya Tsh. Milioni 72.
Mke wa dereva huyo, Rehema Godfrey Mongi (38) alinukuliwa akisema awali Familia ya marehemu ilitaka faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100 lakini baada ya kuombwa na Mwanasheria wamekubali kupunguza, na kwamba kama itapatikana Tsh. milioni 36 wapo tayari kumuachia Maganga bila gari “Mmiliki wa gari yeye amesema hana hela kwa sasa yupo tayari kusamehe gari.”
Ilivyokuwa awali:
~ Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela
~ Dereva Mtanzania anayeshikiliwa Sudani Kusini kwa kugonga mtu aendelea kusota gerezani, familia ya aliyegonjwa yataka fidia
Chadema wamsaidoe mtanzania mwenzetuBosi wake angekuwa Chawa serikali ingemsaidia
Mwamba utatoka hukai iko mileleDereva Mtanzania aliyekuwa akiendesha lori, Juma Ally Maganga (45) ambaye alikuwa akishikiliwa na Mamlaka za kiusalama nchini Sudan Kusini kwa tuhuma za kugonga mtu na kusababisha kifo cha mtu huyo, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani.
Taarifa kutoka kwa mmiliki wa Lori alilokuwa akiendesha Gabriel John Kiliki ameonesha nyaraka inayoonesha hukumu ya Maganga imeanza 14/02/2025 pamoja na kwamba anatakiwa kulipa faini mbalimbali.
Awali, familia ya dereva huyo iliyopo Tanzania ilieleza kuwa walijulishwa kutoka Sudan kuwa aliyegongwa alikuwa akiendesha pikipiki na kupoteza maisha papohapo ambapo Familia ya marehemu na kwamba imesema ili Mtanzania huyo aachiwe pamoja na gari inatakiwa ilipwe faini ya Tsh. Milioni 72.
Mke wa dereva huyo, Rehema Godfrey Mongi (38) alinukuliwa akisema awali Familia ya marehemu ilitaka faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100 lakini baada ya kuombwa na Mwanasheria wamekubali kupunguza, na kwamba kama itapatikana Tsh. milioni 36 wapo tayari kumuachia Maganga bila gari “Mmiliki wa gari yeye amesema hana hela kwa sasa yupo tayari kusamehe gari.”
Ilivyokuwa awali:
~ Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela
~ Dereva Mtanzania anayeshikiliwa Sudani Kusini kwa kugonga mtu aendelea kusota gerezani, familia ya aliyegonjwa yataka fidia
Boss kasamehe gari maana alichoambiwa alipe akaone aiache gari...pole kwa ndugu yetu.Traffic case ngumu kiasi hicho!
Huko hakufai kupeleka gari yako.
gorikipa mwarabu analala kupoteza muda tujaribu mashuti ya mbali🤭🤭🤭Sorry mkuu huo msemo "BUANA" umekaa vibaya sana kutumiwa na mtoto wa kiume.....
Fisiemu ni kudili na chadema TU, hayo mengine hayawahusu! Shenzi type!Hivi ni kweli kabisa hao viongozi wa wizara ya mambo ya nje walishindwa kufatilia tokea hiyo February mpaka mtu anahukumiwa April 23?
Kuna haja gani sasa kuwa na watu wazembe namna hiyo hapo wizarani?
Huo ubalozi wa hapo Kampala nao umeshindwa kuwa na muwakilishi kwenye jambo hilo?
Hivi hii nchi si ndio ipo kwenye jumuiya ya Africa mashariki?
Vipi hii jumuia haina kupeana taarifa za kina juu ya matatizo kama haya kwa kila raia anayeenda huko au anayekuja huku?
Na vipi kwenye mipaka yetu watu wanavyotoka huwa hawaelekezwi namna ya kuwasiliana na balozi iwapo anapata tatizo huko aendako?.
Nina jamaa ni wakenya huwa wananieleza wao wakivuka tuu mpaka tayari line zao zinawapa ujumbe wa kuwasiliana na balozi kwa nchi husika anapoelekea kwa nini na sisi hawa services provide wasipewe huu utaratibu angalau maderva na wananchi wanaoenda nchi nbali mbali wakawa wanapta taarifa kama hizi.
Mwisho ni bora watanzania tukamchangia huyu ndugu maana wahusika kamili mpaka sasa naona hawajaamua kwa dhati kumsaidia huyu dereva, cha msingi mwanafamilia ajitokeze na aende eneo husika watu tujitolee chochote kitu, hii ndio suluhisho hakuna kingine kwa sasa
Hivi vikampuni uchwara mabosi wengi ni roho mbaya ya huyo tajiri yaani kweli unatoa milioni 1 unaona ni msaada kwa dereva wako na mali yako?
Hiyo dola 3500 angetoa hali hii isingefikia hapo ilipo una truck zaidi ya moja halafu unaona hizo dola ni nyingi kuliko thamani ya gari lako kweli???