Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyeshikiliwa Sudan amehukumiwa miaka mitatu jela

Najitoleq kumtunza mkewe katika kipindi ambacho jamaa yupo jela.
 
Huku za Sudani ni Bora zaidi kuliko za Bongo.

Huku ukigonga na kuua unatamba mtaani tu ila ukisema No reform unanyea debe
 
Bongo madereva wanadekezwa sana, ndio maana mnaona sawa tu kugonga mtu na kuua ..eti traffc case. Hata kama ni traffic case kinachoangaliwa ni mazingira ya ajali.Huwezi kusababisha ajali na kifo kwa ulevi halafu uepuke jela.Au uendeshe bila kufuata sheria za barabarani usababishe maafa halafu useme ni traffic case.Watu wanaovertake hovyo hovyo kama wendawazimu sehemu isiyofaa ku overtake. Nchi nyingine kosa la kuendesha ukiwa umelewa (driving under the influence - DUI) ukikamatwa unaweza kwenda jela hata kama hujasababisha ajali, kiasi cha pombe mwilini kinaweza kuamua uende jela au la. Hivyo madereva wa kibongo laima wajue si nchi zote wanacheka na madereva wazembe.
 
Alafu usilo lijua ni kwamba hata leo hii Mganda , Mrundi , Mkongo ......n.k wakiingia bongo kama ni dereva wa roli huwa makini sana kwani nao husema serikali ya Tanzania huwabana sana hususani pale wanapo sababisha ajari .
Kwahiyo nafhan kila nchi huwalegezea watu wake .
 
Swali ni kwanini ndugu wa.marehemu ndio.wenye maamuzi? ina maana south sudani hakuna mahakama? nadhani kuna kitu hakijakaa sawa katika hii issue.
 
Kila nchi ina sheria zake ukikosea huko utahukumiwa huko huko kwa sheria zao

Kazi ya serikali sio kutetea wahalifu wiofanya uhalifu nje ya nchi

Kokote nchi yeyote unatakiwa kutii sheria bila shuruti
Mahakama imetoa kifungo cha miaka mi 3 ila ndugu mwanzo mwanzo walitaka 100m baada ya kukutana na mwanasheria wa dereva wamepunguza mpaka 30m mahakama ya wapi unafanya kazi namna hiyo?
 
Swali ni kwanini ndugu wa.marehemu ndio.wenye maamuzi? ina maana south sudani hakuna mahakama? nadhani kuna kitu hakijakaa sawa katika hii issue.
Isije ikawa dereva kashikiliwa na wale jamaa wa " Tuma Kwa namba hii?"
 
Nilidhani gari ikiingia nchi nyingine hulipiwa bima kubwa ya nchi ile - hivyo bima hiyo ndio ingehusika kuwalipa ndugu wa aliyegongwa!
 
Nilidhani gari ikiingia nchi nyingine hulipiwa bima kubwa ya nchi ile - hivyo bima hiyo ndio ingehusika kuwalipa ndugu wa aliyegongwa!
Gari yoyote iwe ya mizigo au private cars kabla ya kuingia nchi nyingine nisemee hizi ambazo ni majirani zetu huwa lazima uikatie bima hapo boda kabla ya kyingia nchi husika na nadhani mojawapo ya kazi ya hiyo bima ni pamoja na ajali kama hizo
 
Roving Journalist unaweza kufuatilia tena hii ishu kujua imefikia wapi?
 
Weka namba tumpe tulichonacho, ila isiwe namba ya ******* wataanza kumtongoza
 
Nimewahi kuishi Sudan Kusini, niwaambie tu, huyu dereva ana bahati sana hajauawa, wale watu ni makatili, lipeni hizo hela aondoke salama.
 
Nimewahi kuishi Sudan Kusini, niwaambie tu, huyu dereva ana bahati sana hajauawa, wale watu ni makatili, lipeni hizo hela aondoke salama.
Na inaonekana ni kweli, kwa sababu nimesikiliza story hii youtube, mke alihojiwa na Millard, anasema walijadiliana na ile familia ya huyo marehemu kwa simu, walifikia hatua wakasema wao wanatamani kama vipi hata huyo dereva apigwe tu risasi, afe wamalizane nae kihivyo wote wawe wamekosa.
 
NCHI HII IMEJAWA NA MATAPELI NA WATU WANAOTAKA MADARAKA KWA FAIDA YAO NA FAMILIA ZAO

KAMA SEREKALI HAIWEZI KUJALI WANAOTEKWA NDANI YA NCHI WATAWEZA KUJALI MATATIZO YA MTU ALIOPO SUDANI KUSINI?

HAO WATU UKO BUNGENI HAWAONGEI KWAJILI YA WANANCHI BALI KWAAJILI YA KUPANDA VYEO... WANATUPIGA VAKU WAKIJIFANYA WANAOMBA KURA ANGALI WANAJUA NANI KASHINDA

WABUNGE HAWAPATI MATATIZO YA WANANCHI ILI WAONGE BUNGENI? ILA WANAJUA KUTUKANA WATU WAKIONGEA UKWELI NA KUMSIFIA RAIS WAO.

NA SISI WANANCHI NDIO MADMAX KABISA TUNASEMA TUNAFANYA UCHAGUZI NA ANGALI TUNAJUA SISI HATUFANYI UCHAGUZI WAO NDIO WANAFANYA HATUJALI TENA IMEKUWA MAZOEA KUCHAFUA KIDOLE

NO REFORM NO ELECTION HILI NENO LINAMAANA KUBWA SIO KWA CDM BALI KWA KILA MTANZANIA LASIVYO
NIKUONEANA HURUMA MASKINI KWA MASKINI NA KUMSIFIA TAJIRI NA WATOTO WAKE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…