Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Siwezi kuutafuta Kama huyo mjinga mwenzio, msidhani wote walioahirisha safari zao walikuwa Ni maskini.

Kutuletea janga kubwa mno. Just imagine siku moja TU bila Hilo janga ilivyo ya maana. Tafakari siku moja iliyopita bila kuwa na Mgonjwa hata mmoja the way tulivyokuwa angalau na utulivu wa mioyo na shughuli za kiuchumi kuendelea Kama kawaida.

Angalia utofauti wa siku hiyo moja TU na Hali tuliyonayo hivi Sasa. Utagundua hata Mungu angetupa siku nyingine moja au tatu mbele bila ya maambukizi hata ya mtu mmoja tungekuwa tumepiga walau hatua.

Fikiria tu hata Bei ya sanitizer kabla huyo dada hajafanya ujinga ilikuwa kiasi gani? Kukumbusha tu kichupa Cha ml 60 kilikuwa kinauzwa elfu 5 tu. Leo baada ya ujinga wa dada huyu kinauzwa elfu 25.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mwenyewe anasema anajipodoa ili aongee na waandishi wa habari yaani siiimpoo kama vile katuletea kombe la dunia! Sijamwelewa na sitamuelewa kamwee
 
Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini.

Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono.

Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako abiria hao 2 walikuwa wakienda.

Asubuhi watoto wote 4 wa dereva walielekea mashuleni kwao ambako maisha yaliendelea kama kawaida.

Kwa maelezo ya dereva taxi, wale walioenda kwenye ile shule wameshapatikana kule kwenye shule ya watoto yatima, lakini maisha yalishaendelea kama kawaida.

Hicho ndicho kipimo halisi cha mnyororo wa huu ugonjwa Corona ambao WHO imeuita kuwa ni janga la kimataifa.

Source: BBC Swahili leo.

Kwenu serikali, pasipo na kupepesa maneno hapa "inatakiwa kuwepo mkakati kamili sasa na kwa dharura kweli, si mkakati nusu nusu tena."

At this stage, "we urgently need a total strategy. A partial strategy is not an option anymore."

_________________________________

MODs mmerekebisha title ya uzi mkapotosha!

Hakuna aliyekuwa kasema dereva ana Corona.

Title ilikuwa wazi: Dereva aliyemchukua Mgonjwa wa kwanza wa Corona yaani - Tanzania Corona Patient Zero

Hapo MODs rekebisheni tafadhali.

Kama hana Corona mbona ni la kheri mno, hakuna anayemwombea mabaya.
______________________________
Hawa ndio kazi ya kubadili badili,kuunganisha unganisha nyuzi za watu kama wanaCorona ya ubungo.
 
Hawa ndio kazi ya kubadili badili,kuunganisha unganisha nyuzi za watu kama wanaCorona ya ubungo.

Kwa kweli uelewa wa mada wa mods ukiwa kama hivi ni shida.

Someni kuelewa kabla ya hatua zenu fyongo za kufanya marekebisho au uunganishaji nyuzi bila ridhaa.

Bila hivyo huu utakuwa ni ubakaji wa mada kama ulivyo ubakaji mwingine tu.
 
Jibu Ni jepesi alichagua kuwanusuru ndugu zake kwa muda na kwenda kuwaangamiza
Hili ni Jibu lako kutoka na Usawa wa Mtazamo wako, na uko sahihi kabisa; Ila sio jibu la muhusika na FACT anayo muhusika; na inawezekana isiwe kama unavyotazamia.
Haya mengine ni maoni yetu tu huku mitandaoni.
 
Tulikuwa nayo nafasi ya kuzuuia ugonjwa huu kuingia hatukuitumia kwa maamuzi sahihi tu. Kwa sababu hiyo ugonjwa umeingia.

Tunayo nafasi ya kuudhibiti sasa hatuitumii kufanya maamuzi sahihi. Huu ugonjwa utatugharimu.

Kwa nini serikali isisimamishe shughuli zote watu wasalie nyumbani kwa muda Sasa?

Hapa panahitajika total lock down or else ..
 
Kwa kweli uelewa wa mada wa mods ukiwa kama hivi ni shida.

Someni kuelewa kabla ya hatua zenu fyongo za kufanya marekebisho au uunganishaji nyuzi bila ridhaa.

Bila hivyo huu utakuwa ni ubakaji wa mada kama ulivyo ubakaji mwingine tu.
watu washalalamika sana,Mods hawa kama vile wana vyeti feki.
 
Huyu mama hakufikiria vizuri. Angebaki tu hukohuko akajifanyia hiyo self isolation.

As long as ameuleta Tanzania, hata asipoenda kwake, familia yake pia itaupata tu.

Ni suala la muda tu.

Mkuu uliona mbali sana.
 
Back
Top Bottom