wirewizard1
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 160
- 26
ALLAH Atunusuru...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukiwa exposed na positive patient na wewe ni lazima uugue?
Sema hata eti kisa ndugu yangu, tungemwambia amalizane na serikali huko huko maana sie hatuna hospital na sina ndugu aina hiyo, kanaoneka hakajatulia wanavyosema inewezekana aliambiwa kuna msaada njoo kuchukua ndiyo kakurupuka kwenda hukoKwenye familia yangu kwanza hakuna mjinga hivyo anayeweza kurisk maisha na kusafiri huku kukiwa na janga la huu ugonjwa kila mahali, just note that
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu Ni jepesi alichagua kuwanusuru ndugu zake kwa muda na kwenda kuwaangamiza mamia walioko hotelini maana hawamuhusu.Ukiwa na Jibu hili basi hapo ndio itakuwa Rahisi kumuelewa huyu dada;
Jiliwaze, naona watetezi wake mnakwepa kujibu kwa Nini hakudeclare pale airport ili kukinga wengine.Hapana huyu mama hajafanya kusudi na Hana kosa.
Kwanza Kama visa yake iliisha na kupaswa kurudi nchini mwake ni lazima arudi vinginevyo angeweza kupata shida na mamlaka za uhamiaji huko alipokuwa.
Pili aliporudi aliamua kujiweka self quarantine kwa lengo la kuona Kama atakuwa na shida. Kumbuka hakuwa na familia zozote alipoingia nchini.
Na hata hotelini aliminimize movement. Imagine angeenda nyumbani Kisha akaanza kuingia sokoni, daldala, saloon,kanisani ingekuwaje.
Angekuwa anafanya makusudi angekuwa mdhururaji ili kuhakikisha anafanya maambukizi lkaini sivyo.
Kwangu Mimi nampongeza Sana Tena Sana kwa hatua aliyofanya kuepusha makubwa kuanzia familia yake, jamaa na marafiki. Na alionyesha uungwana kushirikiana na mmalaka husika pale alipoona dalili.
Tumpe hongera na badala ya kumlaumu.
By the way wengi wetu watapata huu ugonjwa lakini chanzo hakutakuwa huyu mama. Tusubiri muda ndio mwalimu
Tumeshamwelewa alikuwa anakinga ndugu zake bora na kwenda kusambaza kwa watu wengi zaidiUkiwa na Jibu hili basi hapo ndio itakuwa Rahisi kumuelewa huyu dada;
Hii ndio self quarantine wanayoelimisha WHO. Alipaswa kwenda kwake tena kwa gari yake na kuchagua chumba kimoja maana watetezi wake wanasema ana vyote hivyo. Ilikuwa Ni kiasi Cha kuomba aletewe gari na aliendeshe peke yake akajifungie kwake.Angeenda kwake achague chumba kimoja ndiyo aji quarantine, si wanasema anamiliki sijui vitu gani huko si kuna vyumba kwanini asingeenda huko kakimbila hotel na itakuwa aliwataarifu kabisa ndugu zake, hajatulia huyo dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani Sana uupate Kisha ujipeleke mwenyewe quarantine ya serikali.Jiliwaze, naona watetezi wake mnakwepa kujibu kwa Nini hakudeclare pale airport ili kukinga wengine.
Kwa Nini hakuwaeleza maafisa wa airport huo wasiwasi wake hata baada ya vipimo kuwa tofauti na wasiwasi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maadamu hakuna trace cases zinaonyesha amemuambiza mtu. Nasubiria utakapoipata nione utu uzima wako utafanya niniAngekuwa mahututi ( mauti uti[emoji23][emoji23]) angesema visa imeisha? Aache mapepe utu uzima wake anafanya vitu vya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly ukiwaza kwa mapana ndivyo ilivyo. It's obvious Ni tamaa ndio imempeleka.Sema hata eti kisa ndugu yangu, tungemwambia amalizane na serikali huko huko maana sie hatuna hospital na sina ndugu aina hiyo, kanaoneka hakajatulia wanavyosema inewezekana aliambiwa kuna msaada njoo kuchukua ndiyo kakurupuka kwenda huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliamua kwenda hotel inamaana alikuwa tayari anajishuku , angewambia hapo airport na angepelekwa kama ni nyumbani au hosp kuliko kwenda hotel, watetezi wake yawezekana ni wateja wakeHii ndio self quarantine wanayoelimisha WHO. Alipaswa kwenda kwake tena kwa gari yake na kuchagua chumba kimoja maana watetezi wake wanasema ana vyote hivyo. Ilikuwa Ni kiasi Cha kuomba aletewe gari na aliendeshe peke yake akajifungie kwake.
Alipoanza kujihisi vibaya angepiga Simu kwenye mamlaka husika wamfate alipo wampe huruma na vipimo.
Hiyo ndio self quarantine inayohuburiwa kote huko alikotoka.
Hata huyo anayetuadisia kuwa alikuwa akiishi naye alijiquarantine kwa namna hii hakwenda hotelini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hii elimu inayotoltewa wewe unaipokea vipi au ndiyo wale unamaliza shule unatoka mwenyewe elimu unaiacha shule. Utakapoipata wewe tutaona kama nawewe utakimbilia hotel badala ya kujulisha hospitalMaadamu hakuna trace cases zinaonyesha amemuambiza mtu. Nasubiria utakapoipata nione utu uzima wako utafanya nini
Siwezi kuutafuta Kama huyo mjinga mwenzio, msidhani wote walioahirisha safari zao walikuwa Ni maskini.Natamani Sana uupate Kisha ujipeleke mwenyewe quarantine ya serikali.
Tunapewa elimu kabisa, lakini watu wanajifanya uchiziExactly ukiwaza kwa mapana ndivyo ilivyo. It's obvious Ni tamaa ndio imempeleka.
Iko NGO moja walipata wafadhili wakaalikwa kwenda kujadili kuhusu Grants waliyokuwa waipate huko Europe. Hii ilikuwa Ni February na Grant ilikuwa ya Billions of money. Lakini kwa sababu ya janga hili waliahirisha kwenda.
Lakini kifutu huyu vidola kadhaa vimemfanya arisk maisha yake na kuvikimbilia. Watetezi wake kwa kujifanya na akili eti wanasema hujui uchungu wa kuahirisha flight?
Mtu huyo huyo ukimwambia achague kuambukizwa Corona makusudi na kuahirisha flight nadhani jibu tayari analo lakini kwa sababu akili zake kwa Sasa ziko kwenye kupambana kumtetea huyu mwanamke Hilo halioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani elimu inayotolewa kwa Hali ya kawaida ukiangalia comment za watetezi wa huyu dada utaona kabisa haijasaidia kitu.
Watu wanasema huyo mama kafanya kusudi kuuleta ugonjwa. Kama sio kusudi
Wamfiche huko maana watu wana usongo nae mno wanasema anafaa apigwe shaba.
- Kwanini alipitilizia hotelini badala ya Kwake?
- Kwanini hakutaka aje apokelewe na ndugu zake wakati Ana gari?
Tuachane na IsabelaBila Shaka utakuwa mfupi na kifutu, sijawahi kuona watu wa namna hii wakiwa na akili timamu.
Kote huko alikotoka wanatoa elimu kuhusu self quarantine, jee hivi alivyofanya ndio self quarantine just because she is a victim?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwali kashafika jmn tuhangaike nae tu!Wewe dada sijui huwa unapata muda wa kujitathimini Mambo unayoandikaga huku?
Alijiquarantine hotelini? Hiyo hoteli alikodisha yote peke yake? Gari alilotumia alikodisha alitumie peke yake?
Hiyo akili yako inakwambia ndio self quarantine eti?
Kwamba ugonjwa ungekuja tu, kizembe hivyo? Na bado unajiona umeandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo Sasa naanza kukuelewa.. unatalent moja TU niliyofanikiwa kujifunza kwako, tutaiongelea siku nyingine ngoja ninawe mikono kwanza niingie sauna kuchoma virusi au mwaliTuachane na Isabela
Ila kwenye ufupi nimecheka sana
I am slim flani and tall hutoamini
Kuwa makini usije toka sauna na coronaKidogo Sasa naanza kukuelewa.. unatalent moja TU niliyofanikiwa kujifunza kwako, tutaiongelea siku nyingine ngoja ninawe mikono kwanza niingie sauna kuchoma virusi au mwali
Sent using Jamii Forums mobile app