Mkuu Hii ndio inatofautisha kati ya Mtu na Mtu, Mimi na wewe ni Tofauti, wewe na mwingine ni tofauti sana kwenye sekta ya Perspective ; Inawezekana wewe usiende; Ila mimi ninayo Perspective tofauti naweza nikaenda huko pasi na mashaka kabisa kufanya Biashara ya Mapanga na Vinoleo huko au Nikaenda kama Peace maker etc, nikiwa tayari nimebeba Risk ya Eneo husika.
Hivyo Scenario ya Swali lako wewe ni la Kimtazamo zaidi; na Suala la kimtazamo huwezi Tegemea jibu moja kati ya Mtu mmoja na mwingine Mkuu; na kwenye suala la Kimtazamo hakuna wrong wala right inategemea hoja yako iko vipi.
Na ndio maana Nikakwambia kwamba Sikupingi; Maana kwa kadiri ya Mtazamo wako wewe kwenye suala hilohilo ni tofauti na mtazamo wangu mimi. hata humu wapo wanolaumu Serikali, wapo wanaomlaumu isabela, Wapowanaolaumu Wachina kabisa, wapo wanaolaumu Rwanda Air etc. ni suala la PERSPECTIVE tu ndugu.
Si vyema sana Kufanya Judgmental kwenye suala la kimtazamo, maana inategemea Angle Muhusika Amekaa, na sio wewe umekaa.