Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Halafu mwenyewe anasema anajipodoa ili aongee na waandishi wa habari yaani siiimpoo kama vile katuletea kombe la dunia! Sijamwelewa na sitamuelewa kamwee
 
Hawa ndio kazi ya kubadili badili,kuunganisha unganisha nyuzi za watu kama wanaCorona ya ubungo.
 
Hawa ndio kazi ya kubadili badili,kuunganisha unganisha nyuzi za watu kama wanaCorona ya ubungo.

Kwa kweli uelewa wa mada wa mods ukiwa kama hivi ni shida.

Someni kuelewa kabla ya hatua zenu fyongo za kufanya marekebisho au uunganishaji nyuzi bila ridhaa.

Bila hivyo huu utakuwa ni ubakaji wa mada kama ulivyo ubakaji mwingine tu.
 
Jibu Ni jepesi alichagua kuwanusuru ndugu zake kwa muda na kwenda kuwaangamiza
Hili ni Jibu lako kutoka na Usawa wa Mtazamo wako, na uko sahihi kabisa; Ila sio jibu la muhusika na FACT anayo muhusika; na inawezekana isiwe kama unavyotazamia.
Haya mengine ni maoni yetu tu huku mitandaoni.
 
Tulikuwa nayo nafasi ya kuzuuia ugonjwa huu kuingia hatukuitumia kwa maamuzi sahihi tu. Kwa sababu hiyo ugonjwa umeingia.

Tunayo nafasi ya kuudhibiti sasa hatuitumii kufanya maamuzi sahihi. Huu ugonjwa utatugharimu.

Kwa nini serikali isisimamishe shughuli zote watu wasalie nyumbani kwa muda Sasa?

Hapa panahitajika total lock down or else ..
 
Kwa kweli uelewa wa mada wa mods ukiwa kama hivi ni shida.

Someni kuelewa kabla ya hatua zenu fyongo za kufanya marekebisho au uunganishaji nyuzi bila ridhaa.

Bila hivyo huu utakuwa ni ubakaji wa mada kama ulivyo ubakaji mwingine tu.
watu washalalamika sana,Mods hawa kama vile wana vyeti feki.
 
Huyu mama hakufikiria vizuri. Angebaki tu hukohuko akajifanyia hiyo self isolation.

As long as ameuleta Tanzania, hata asipoenda kwake, familia yake pia itaupata tu.

Ni suala la muda tu.

Mkuu uliona mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…