Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima. Wavuka kwa miguu wanapoona magari hayasimami wanakuwa frustrated na uvumilivu uwatoka na kuamua sasa kuvuka tu na kupelekea ajali.
Hata kama hakuna alama ya pundamilia, inashauriwa kusimama ambapo kuna watu hasa wengi wanataka kuvuka barabara.
Hivi nyie madereva hamvukagi barabara kwa miguu?
Hata kama hakuna alama ya pundamilia, inashauriwa kusimama ambapo kuna watu hasa wengi wanataka kuvuka barabara.
Hivi nyie madereva hamvukagi barabara kwa miguu?