Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani.

Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
 
CCM nawachukia sana mimi, ila kwenye hili la kumwelekeza Dreva aondoe gari kwa mbunge Nape na kumfuata Waziri mpya! Nawapongeza

Huyo Dreva atoe no yake hapa tumchangie chochote kwa uzalendo huo uliotukuka
 
Mwingulu athubutu kufanya ziara ya mbali huyu ataachwa kwenye mbuga ya serengeti
Alisha achwa kigoma... Ni mzoefu hana shida..

Huyo dereva sio kwamba kafanya jambo la ajabu. Ni utaratibu tu wa kawaida. Yeye anapigiwa simu tu kuwa gari inahitajika kwa bosi wake. Akisha jua gari ina boss mpya sasa kwa nini amsubirie boss wa zamani!?

Na madereva hao wana level flan ya clearance... Wanajua boss katumbuliwa kabla ya boss... Dereva kafata maelekezo tu hapo. Hana la kulaumiwa wala kusifiwa.. Ni utaratibu wa kawaida katika utekelezaji wa majukumu yake ya kikazi
 
CCM nawachukia sana mimi, ila kwenye hili la kumwelekeza Dreva aondoe gari kwa mbunge Nape na kumfuata Waziri mpya! Nawapongeza

Huyo Dreva atoe no yake hapa tumchangie chochote kwa uzalendo huo uliotukuka
Kwahiyo sasa jamaa ilikuwaje pale aliondoka na bajaji au aliiita UBA...!
 
Back
Top Bottom