Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

Dunia duara,huwezi kujua kesho Nape atakuwa nani.
Dereva alipaswa kumrejesha nyumbani kwake salama.na ku -sign- off
 
Dunia duara,huwezi kujua kesho Nape atakuwa nani.
Dereva alipaswa kumrejesha nyumbani kwake salama.na ku -sign- off
Niamini dereva atakuwa alishampigia simu na kumpa pole na nape anajua madereva wa mawaziri wote nyoka wa kumchunguza waziri.lazima alipewa maelekezo ipelekwe mara moja
 
Hapa hakunna cha uzalendo bali ndo taratibu zilivyo kwa madereva wote serikali na angekua mjinga asinge ondoka
Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani.

Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
 
Ushahidi kwamba niliondoka nikamuacha bosi mtumbuliwaji uko wapi wazee!? Acheni kunichawia basi😎😎
 
Back
Top Bottom