Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Hii iwe headline magazeti yote ya keshoKuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
Hangeweza kumpakia kwakuwa ingekuwa sawa na kukalia kiti cha waziri ofisini wakati hana uwaziriCCM katika hili wanasemaje mkuu..
Ni huzuni
Alisha achwa kigoma... Ni mzoefu hana shida..Mwingulu athubutu kufanya ziara ya mbali huyu ataachwa kwenye mbuga ya serengeti
Kwahiyo sasa jamaa ilikuwaje pale aliondoka na bajaji au aliiita UBA...!CCM nawachukia sana mimi, ila kwenye hili la kumwelekeza Dreva aondoe gari kwa mbunge Nape na kumfuata Waziri mpya! Nawapongeza
Huyo Dreva atoe no yake hapa tumchangie chochote kwa uzalendo huo uliotukuka
...,...... kama Nape......
Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
🤣🤣🤣Mwingulu athubutu kufanya ziara ya mbali huyu ataachwa kwenye mbuga ya serengeti