Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Dah vyeo hivi. Nani mwenye link ya siku ile akiwa ukumbini ili nidondoe mawili matatu?Hata walinzi wake nyumbani walitakiwa kuondoka punde tu wakipata taarifa ya kutumbuliwa.
Maigizo Gani🙄 hakuna uzalendo apo zaid ya maigizo aloo!
We jamaa aiseee😂😂😂Ingekuwa mm ndo dereva nngeenda kumuaga kabisa ajue nmeondoka ili asije kukaa ukumbini muda mrefu akakuta bodaboda wamelala 😎
Mmemchulia!! Hakuna tena kiongozi atamtaka huyo derevaAngempa hata lift basi😂😂
Yeye mwenyewe mdomo WakeMmemchulia!! Hakuna tena kiongozi atamtaka huyo dereva
Hivi 2025 Nape awe ndiyo waziri mkuu, asante huyo Dereva atajisikiaje na je Nape hatataka kulipa kisasi kwa sababu ya kuachwa usiku wa manane ukumbini 2024 July?Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani.
Kuna watu unaweza kuwapa lifti ukaishia kukabwa na kuibiwa maana wana uzoefu wa wizi na utapeli.
Dereva Mwingine huko Iringa kipindi cha Magu nasikia alivyotumbuliwa Boss wake alimuuliza nikupe lift au utakuja mwenyewe.Huyu si wa kwanza, madereva wanatambua wajibu wao. Kumbuka Mh. Mwiguru aliwah kuachwa Kigoma!
Cheo ni sawa na nguo ya kuazima. Mwenyewe anaweza kuichukua wakati wo wote na ukabaki mtupu. Gari la waziri ni kati ya hizo nguo.CCM katika hili wanasemaje mkuu..
Ni huzuni
Du hiyo kumiliki pair moja ya kiatu sio uzalendo, hiyo ni roho ya umaskini angekuwa rais watu wangekoma, angetaka kila mtu awe maskini.Mzalendo alikuwa Sokoine tu aliyekufa kazini huku akiwa anamiliki pair moja tu ya viatu.
Hao kina dereva wa Nape ni majizi tu yanaiba mafuta yanauza na kwenda kula bata na michepuko.