figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Salaam Wakuu,
Naona LATRA imeamua kula sahani moja na Madereva, Safari hii itakuwa kumbakumba nguo kuchanika.
Ipo hivi;
Kuanzia mwezi wa nne 2026, kama wewe ni Dereva na haujajisajili LATRA, Au unenunua vyeti feki, Madereva mnaonunua barua za uhakiki na hamna vyeti, madereva wanaonunua leseni na hawana vyeti, jiandae kisaikolojia.
Unakuja ukaguzi maalumu na makini ambao moja haikai wala mbili haikai
Ni kwamba unafutiwa leseni na unaweza pewa kesi ya Uhujumu Uchumi.
Kuwa wa kwanza kujua kupitia Jamiiforums. Hutaki unaacha