Dereva wa Tanzania kaa chonjo.. Kuanzia Aprili kiama kinakuja kama hujajisajili LATRA

Dereva wa Tanzania kaa chonjo.. Kuanzia Aprili kiama kinakuja kama hujajisajili LATRA

Mimi nimeanza kuendesha gari miaka zaidi ya 30 iliopita,wakati huo hawa maofisa wa LATRA wengi wao wakiwa shule ya msingi au hawajazaliwa huko vijijini. Wakati huo unaweza kufundishwa gari na dereva mwenye class C au uende driving school na haikuwa lazima kwenda driving school.
Sasa hicho cheti cha udereva nakipata wapi? Au ndio wanataka eti turudi shule za udereva?
Enzi hizo leseni mkitabu kdg cha kufungua
Hiyo leseni mpaka leo nnayo nikiangaliaga nasemaga tumetoka mbali

Ova
 
Mimi nimeanza kuendesha gari miaka zaidi ya 30 iliopita,wakati huo hawa maofisa wa LATRA wengi wao wakiwa shule ya msingi au hawajazaliwa huko vijijini. Wakati huo unaweza kufundishwa gari na dereva mwenye class C au uende driving school na haikuwa lazima kwenda driving school.
Sasa hicho cheti cha udereva nakipata wapi? Au ndio wanataka eti turudi shule za udereva?
Haina matata turudi TU mkuu na mvi zetu
 
Mimi nimeanza kuendesha gari miaka zaidi ya 30 iliopita,wakati huo hawa maofisa wa LATRA wengi wao wakiwa shule ya msingi au hawajazaliwa huko vijijini. Wakati huo unaweza kufundishwa gari na dereva mwenye class C au uende driving school na haikuwa lazima kwenda driving school.
Sasa hicho cheti cha udereva nakipata wapi? Au ndio wanataka eti turudi shule za udereva?
Nadhani wewe upo vizuri kwenye practical, tunataka tukuone na kwenye theory. Nenda shule tu... Kwani ni miezi mingapi? Unaenda kupata 100% sababu kila kitu unakijua
 
Au ndio wanataka eti turudi shule za udereva?
Ndio wanavyotaka na mjadala ulikua mkubwa haswa ila jamaa wameshikilia hapohapo wanataka mkasome mpate vyeti, hii iliendeshwa kipindi maalum cha maswali na majibu niliona ITV & TBC, ila hao jamaa wameweka ngumu wameshikilia hapohapo hasahasa [madereva wa malori, daladala, mabus, magari ya mizigo], bodaboda bajaj, wenye magari binafsi sijasikia wakilalamika sana ila hilo hilo kundi hapo nimeona wote wanalalamika sana maana wanatakiwa wawe na vyeti
 
Kama leseni zilitoa mamlaka za serikali, iweje tena mfanye uhakiki?

Kwa tafsiri nyepesi hamuaminiani, tra alikua anatoa leseni hovyo hovyo bila vigezo stahiki ndio maana mnataka kwenda kuhakiki.

Kwani mtu anaweza kusahau kuendesha gari kusema kwamba aende shule tena ili aje kupewa cheti?

Sasa dereva abebe leseni, halafu abebe na cheti.
 
wameshikilia hapohapo hasahasa [madereva wa malori, daladala, mabus, magari ya mizigo], bodaboda bajaj, wenye magari binafsi sijasikia wakilalamika sana ila hilo hilo kundi hapo nimeona wote wanalalamika sana maana wanatakiwa wawe na vyeti
Kwa hiyo kama unaendesha gari yako binafsi pekee hutalazimika kwenda hiyo shule?

Huo mchakato ya Latra haupo wazi, umekaa kimtego sana
 
Kwa hiyo kama unaendesha gari yako binafsi pekee hutalazimika kwenda hiyo shule?

Huo mchakato ya Latra haupo wazi, umekaa kimtego sana
Yaan hao wenye class C [C1,C2&C3], E, F & G ndio wanaolalamika sana sio wenye class A, B & D, ila ni mtego sasa wewe usiende shule huna cheti utawaeleza leseni ulipatapata vipi
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ni Mamlaka ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya LATRA Sura ya 413. Sheria hii ilifuta Sheria ya iliyokuwa Mamlaka ya Udhibiti wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA). LATRA imepewa jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri ardhini, hususan usafiri wa mizigo na abiria (mabasi ya njia ndefu, mabasi ya mijini, magari ya mizigo, teksi, pikipiki za magurumu mawili na matatu) usafiri wa reli na usafiri wa waya. Makao Makuu ya LATRA yapo Dodoma na Mamlaka ina ofisi katika mikoa yote ishirini na sita (26) ya Tanzania Bara.
Naona Secreatary wa boss hapo Latra Mafinga umekuja kutoaa siri..
 
Vipi kama madereva watagoma kuendesha magari hao latra wataingia barabaran wenyewe kuziendesha?
Uzuri Tanzania hakuna shida ya wafanyakazi. Ukigoma kazi anapewa mwenye vigezo kwani wapo wengi mtaani. Hakuna tajiri atasema mzigo usifike Congo kisa wewe umegoma. Wanapewa deiwaka kazi zinaendelea... Nakushauri usije shiriki kwenye upuuzi wa mgomo. Jaribu kama unataka kuona madereva walivyo wanafiki. Wewe unagima mwenzio yupo boda anagonga documents.. Ukimuuliza anakuambia hakuna alonisaidia kuomba kazi hivyo naipenda
 
Yaan hao wenye class C [C1,C2&C3], E, F & G ndio wanaolalamika sana sio wenye class A, B & D, ila ni mtego sasa wewe usiende shule huna cheti utawaeleza leseni ulipatapata vipi
Wanachokifanya kufanikiwa ni ngumu kwa maana anaetoa leseni ni mtu mwingine. Utaratibu ule usio rasmi uliokuwepo toka mwanzo wa kupata leseni naona ukiendelea kula tiharahei
 
Lakini hapo serikali inataka kurudia makosa kama ya kwenye vyeti feki,kwani inashindikana Nini kutengezeneza leseni ambazo Zina barcord kwa ajili ya kuscan ili kuzuia hizo feki kutengenezwa?haiwezekani mtu kendesha gari kwa miaka 30 tayari anauzoefu wa kutosha Leo umwambie eti nenda shule ukasomee driving si kioja hicho.Kwani wanaosababisha ajali ni wao pekee? barabarani unaweza ukawa makini na ukafata kanuni na Sheria zote za usalama barabarani lakini mwenzio mwenye kivtz,bajaji,bodaboda,akakusababishia ajali Sasa hapo cheti kitakua kimehusikaje?

Sipingi kwamba watu wasiende shule kusomea lakini angalau Sheria iwabane wale wapya wanaotaka kuingia kwenye fani hiyo iwe lazima wapitie mafumzo kwenye shule za driving basi na leseni inapotolewa iwe ni leseni ambayo inasomeka kwenye mfumo wa nchi mzima yenye barcord kuscan inaeleza detail za mhusika na chuo alichosoma.
 
Wanachokifanya kufanikiwa ni ngumu kwa maana anaetoa leseni ni mtu mwingine. Utaratibu ule usio rasmi uliokuwepo toka mwanzo wa kupata leseni naona ukiendelea kula tiharahei
Sasa hivi Serikali mifumo inasomana..
 
Back
Top Bottom