haka kawiki ukifuatilia stori zake unaweza kupata kifaduro cha Ubongo mkuu. Ngoja tuitafute furaha kwa hivi maana furaha inatafutwaDaby, I can't you....Seriously uko juu! Leo kidogo siku imekuwa nzito na kiza kilitanda kitika mood na everything kwangu (toka asubuhi) ,,Ila sasa kwa narratives zako umenifuraisha..Bravo! Lbda Asprin au Shunie wawe na yao...
angalia avatar yako utajua ukwelimdomo wangu mzito
how and why ?
unataka nikubembeleze ndio uniambieHuo mwanga unakutosha mengine kaongezee maktaba ya taifa
hili aliloliongea halihusiani na avatarangalia avatar yako utajua ukweli
Mimi wa kwanza ni Paprika nimempenda na bure sijui km nimwanamke au ni binti Nikiangalia comment zake yani huwa anafikiria kitu kabla yakukiandika in short anaonekana nimwanamke mwenye hekima saana na anajielewa.... Wapo wengi lkn paprika kura yng imemuangukia ... Wa pili Daby ye pia tabia zake zinaendana kdg na paprika Alf unaonekana unaakili flani hviii sijui nizielezee vipi Alf we nimtu mzimaeee??
daah! kwa hii komenti yako naiona picha jinsi gan ulivyokuwa kiwembe
18Hivi mtu mzima nikuanzia miaka mingapi vilee ili nikujibu