Describe and explain anything about HIm/HEr

1. Asprin.
Huyu jamaa kwanza ni swahiba wangu. Kwa wasiomkumbuka alikuwa anaitwa Chrispin enzi zilee. Anapenda sketi saana saana. Kuna siri kibao nimemfichia kwa shemeji yangu kiasi kwamba akinimind tu nasema na ataachika soon.

Anapenda kuongea pumba saana na ukifuatilia post zake utaishia kucheka. MO11 anatabia zinazofanania na huyu ila sema mo11 mdomo wake mzito[emoji23][emoji23]. Ila wapo smart saana wawapo serious.

2. Shunie. Haka kadada ka tanga aseeh kanachekesha saana. Kwanza muda wote kapo online JF nafikir mchuchu wake anakaribia kufilisika[emoji16] kwa bundle.kama hakanunuliwi bundle kaje kabishe hapa.

Ukikatania kukatongoza basi katakujibu kwa unyonge hadi unakaonea huruma. Nafikiri kanaheshimu mahusiano yake maana viwembe wa jf kama Saint Ivuga ameshindwa kukachukua.
lee empire umeona hii post ya Daby au umevunga tu
 
Kwangu wa kwanza BAK kwanza nionavyo atakuwa umri umeenda kwani ana heshima zake pia ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa , mpenda mpira pia nionavyo na kwenye muziki hayupo nyuma. Kiufupi huwa nafurahi nikiona michango yake popote lazima niipitie kwani najua nitapata kitu sitaondoka bure.

Wa pili ni huyu mtu mmoja Bonny sijui huwa anajichimbiaga wapi mana anaonekana kwa mikatiko , nionavyo naye huyu anajielewa ndio mana anapenda kuchagua thread za kucomment japo kwa upande mwingine naye ni kama Asprin mana ukiingia kwenye anga zake utajuta kwa hayo mashushu na maneno ya mkato.

Wapo wengine wengi ila ndio idadi inabana. Sakayo
Shunie
Raimundo
Numbisa
Asprin
Bob12
Transcend na wengine wengi pia nawakubali vibaya mno.
 
Hahaha asante umeuelewa mchezo.
Ila nimesononeka saana kutokuwepo kwenye list yako.
 
Nimeshamuona mtoto wa miaka 10 ana knowledge kubwa kuliko kijana wa miaka 20. Ukipenda kujifunza na hasa miaka hii ya mtandao knowledge is at your fingertips emmyta. Halafu mie kama kitu sina uhakika nacho 100% huwa nafanya research kwanza kabla ya kushusha nondo humu na kumbu kumbu zangu KAMWE haziniangushi. Siwezi kutoka nyumbani kwenda kazini kabla ya kusoma magazeti mbali mbali ya duniani ikiwemo ya Tanzania, vinginevyo naona siku yangu ina walakini mkubwa sana. Heshima pia ni kitu cha bure ukijiheshimu utaheshimiwa, wakianza kurusha matusi lol! You know what to do. Uwe na weekend njema.

🙂🙂🙂

Back
Top Bottom