Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

1. Asprin.
Huyu jamaa kwanza ni swahiba wangu. Kwa wasiomkumbuka alikuwa anaitwa Chrispin enzi zilee. Anapenda sketi saana saana. Kuna siri kibao nimemfichia kwa shemeji yangu kiasi kwamba akinimind tu nasema na ataachika soon.

Anapenda kuongea pumba saana na ukifuatilia post zake utaishia kucheka. MO11 anatabia zinazofanania na huyu ila sema mo11 mdomo wake mzito[emoji23][emoji23]. Ila wapo smart saana wawapo serious.

2. Shunie. Haka kadada ka tanga aseeh kanachekesha saana. Kwanza muda wote kapo online JF nafikir mchuchu wake anakaribia kufilisika[emoji16] kwa bundle.kama hakanunuliwi bundle kaje kabishe hapa.

Ukikatania kukatongoza basi katakujibu kwa unyonge hadi unakaonea huruma. Nafikiri kanaheshimu mahusiano yake maana viwembe wa jf kama Saint Ivuga ameshindwa kukachukua.
Daby kweli mm mda wote nipo online [emoji23][emoji23] baby kazi anayo ya kuniunga bundle
 
Kwangu wa kwanza BAK kwanza nionavyo atakuwa umri umeenda kwani ana heshima zake pia ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa , mpenda mpira pia nionavyo na kwenye muziki hayupo nyuma. Kiufupi huwa nafurahi nikiona michango yake popote lazima niipitie kwani najua nitapata kitu sitaondoka bure.

Wa pili ni huyu mtu mmoja Bonny sijui huwa anajichimbiaga wapi mana anaonekana kwa mikatiko , nionavyo naye huyu anajielewa ndio mana anapenda kuchagua thread za kucomment japo kwa upande mwingine naye ni kama Asprin mana ukiingia kwenye anga zake utajuta kwa hayo mashushu na maneno ya mkato.

Wapo wengine wengi ila ndio idadi inabana. Sakayo
Shunie
Raimundo
Numbisa
Asprin
Bob12
Transcend na wengine wengi pia nawakubali vibaya mno.
shost unataka kujaza bus ujue umeambiwa wawili tu [emoji23]
 
mimi bwana huwa namuwaza sana Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...

yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone

FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili
hahahhah nakupenda sana eddy mm na ww tunakutana mara kwa mara kwenye mambo yetu haujakosea mm kwenye kutafuta pesa
 
Back
Top Bottom