Describe and explain anything about HIm/HEr

Hahaha asante umeuelewa mchezo.
Ila nimesononeka saana kutokuwepo kwenye list yako.
Nilitegemea swali hilo ndio mana nakakuweka pembeni sijakutaja.

Nawe pia Daby kwangu ni mtu wa nguvu kwani kwa nionavyo comment zako bado ni kijana japo tulijiunga mwaka mmoja jf unaonekana una roho nzuri ya kusaidia watu na huna uchoyo wa kumpa darasa kwa asichokijua mtu hasa kwa mambo yahusuyo jf kwa ujumla.

Una roho ya kipekee kwa kweli.
 
Tehtehteh nimekulewa saana.

Yeah ,,,tumezaliwa na roho nzuri hizo mbaya mnajipandikiza tu.
 
mimi bwana huwa namuwaza sana Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...

yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone

FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili
 
Eddy kati ya watu ambao wamebadilika JF ni wewe . Nafikiri nikisema hivi utajua namaanisha nini
 
Umesema watu wanaogopa lawama a wengine wana watu wao.

Lawama sawa. Ila kuhusu watu wengine kuwa na watu wao hili halina shida maana hatutaji wapenzi just friends tu
Nimekuelewa sasa hata nilivyoisoma thread mwanzo nilielewa vivyo hivyo ni marafiki
 
Ulikuwa mtu mmoja msumbufu saana hasa ukiona au kuskia chura. Ilifanya hadi nikakariri I'd yako.
dah...asante mkuu kumbe foot print zangu zinajurikana...kiukweli ile id ya eddy_mhando ya mwanzo ilifungwa...imepigwa ban la milele ndio maana nimeamua kuwa mpole...kama ukifuatilia account hii utagundua kuwa nimepost post moja tuu...tena tokea 2014...ila ile ya mwanzo ilikuwa na mambo mengi sana ndicho kilichonivutia kuifufua hii iliyokufa ili nisiwapoteze marafiki zangu mlionizoea.
 
Haha..pole mkuu. Ulikuwa mtu hatari saana.
 
Back
Top Bottom