mimi bwana huwa namuwaza sana
Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...
yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana
Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone
FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili