Describe and explain anything about HIm/HEr

1:ben milazo
2:ben milazo
nimesemaa ben milazo yani ben milazo in jpm voice
 
Hapa sijui umenisifia au umeniua... Ngoja nimuachie Mungu.
 
Hahahahahaa.... hahahahaha DAh!!!

Swahiba ushaniharibia move kwa michuchu ujue....

Ila nshakustukia unataka kututoa kwenye sakata la vyeti na bastola...
 
Daby, I can't you....Seriously uko juu! Leo kidogo siku imekuwa nzito na kiza kilitanda kitika mood na everything kwangu (toka asubuhi) ,,Ila sasa kwa narratives zako umenifuraisha..Bravo! Lbda Asprin au Shunie wawe na yao...
Hahahaha mkuu umeingizwa chaka... mimi ni mtumishi wa parokia.
 
Na mimi??? Usifanye ubaguzi bhanaa....
 
Nimejikuta nacheka kwenye Jumuiya mpaka glasi yangu ya Konyagi imedondoka....

Swahiba ule waraka wetu tuutoe baada ya sakata la Bastola au tusubirie mpaka Mwigulu atumbuliwe??
 
Mkuu Daby (sijui kwanini nimekuita mkuu)

Naomba ruhusa yako unipe wiki moja nikuletee wasifu wa wafuatao ambao nawajua kimwili na kiroho.

geniveros (mama wa watoto wangu)
Honey Faith (mama lishe, mwizi wa vitumbua)
Sakayo (Sabuni ya roho yangu)
emmyta (mwimba taarab wa TOT)
espy (Mkeketaji na Ngariba wa kujitolea)
Heaven on Earth (Mahabuba nyongo mkalia ini)
Heaven Sent (Mpiga chabo wa gesti za uswazi)
Numbisa (Mhariri wa gazeti la Ijumaa kitengo cha Shilawadu)
miss chagga (sista anitafutiaye michepuko)
Shunie (Nyumba ndogo wa Mod Jukwaa la wakubwa)
Evelyn Salt (Mfundaji wa kitchen party)
Sky Eclat (Daktari wa Faru John)
CHIKIRA MTABARI (mdokozi wa futari)

Nikimaliza kuwadadavua hawa, ntaomba idhini yako niwadadavue wale tunaopigana vikumbo kumendea watajwa hapo juu, bila kuzingatia itifaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…