Describe and explain anything about HIm/HEr

Kwa mtindo huu ,watz wengi watapatwa na magonjwa ya pressure ,mtindio wa ubongo,stress,coz life gumu sana Ila viongozi tunao tegemea watutengenezee njia za mafanikio kwa kutekelezea huduma za kijamii,ila wao sasa kinachoendelea mmmmmm mapovu tu ,kutafuta kiki na sifa zisizo na maana
 
Haha afu si born town yule, basi akupe story za wadada wa mjini wa enzi hizo; tuliokuja town na malorry ya kabichi tunatoaga tu macho

Ha ha ha ha et malory ya kabichi, inabd na nmfolow kabisa na ku subscribe
Ila uzur mungu kamuumba na roho njema kwa kwel ni huo mdomo tu wa celebrites
 
Dahhhhhhhhhhh
I will be back Smart911 ngoja kwanza niende kwenye kioo



Asante sana Smart911


Watu wataniroga mwaka huu hakyamungu misifa yote hii dahhhhhhhhhhh
I don't know what to say yani
I'm speechless Super dear
Nina furaha mpaka najisikia kulia mwenzio
Let me declare this thing here

I love you Smart911
Love you for real
 
Hapa panahitaji maombi. Ngoja nielekee mlimani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…