Meza tuKoh koh...
Sijui niteme wapi
And I guess you don't know yet how much I love you. And hujui tu how many times nasoma comments zako afu naishia tu kusema "Good Lord, I'm tapping into this kind of wisdom and intelligence". And I know hujui pia kuwa you are my Role Model in here and one of my darling sisters. #Blessings#Nimewezaaaaa........ mtankoma mbona? Asante sana. Mwaa... Sasa naanza..
Heaven Sent - nampenda huyu dada ana hekima na anaonekana kumjua Mungu.
Wananijua, naona mwingine kakimbia.Ha ha ha ha bora aiseee maana kuna viumbe nilikuwa siwaelew
Miss u sana, niko huku kolomije nafanya research mtandao uasumbua sana.Miss u so muchhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Fanya urudi bwana maana hata kule sikuoni kabisaaaaa,huko kwa kina Bashite achana napo, vijana wapo vizuri shaka ondoaMiss u sana, niko huku kolomije nafanya research mtandao uasumbua sana.
Vijana wetu wanaendeleaje, najua wantatia timu sasa hivi.
Nitarudi mama watoto wangu, japo utafutaji umeniweka mbali nawe.Fanya urudi bwana maana hata kule sikuoni kabisaaaaa,huko kwa kina Bashite achana napo, vijana wapo vizuri shaka ondoa
Sikuoni kule kwa kijiwe chetu (MAKAPUKU)Nitarudi mama watoto wangu, japo utafutaji umeniweka mbali nawe.
Wapi huoni? Au unamaanisha wazap?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ur crazy bonnyyy....!!!geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu
emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia
Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro
Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
Daby umesikia people they dont regreat so kuwa mpoleee mzee mwenzangunna wengi sana but
Nifah nampenda sana ni mtu Mwenye huruma sana and good advisor
Heaven sent love her sana tu ana sifa kama za nifah
Bonny my friend aiseehh!!bonge la mshikaji then very good person I don't regret to be my friend
Asprin comedian..
Shunie good girl
Warumi mbea mwenzangu na Dinazarde...
espy....my matroni..
!!!
wanakujua nn au una mguu wa mttoWananijua, naona mwingine kakimbia.
Aww [emoji8] nakupenda geni sema bonny anasemaga utanifundisha ugomvinna wengi sana but
Nifah nampenda sana ni mtu Mwenye huruma sana and good advisor
Heaven sent love her sana tu ana sifa kama za nifah
Bonny my friend aiseehh!!bonge la mshikaji then very good person I don't regret to be my friend
Asprin comedian..
Shunie good girl
Warumi mbea mwenzangu na Dinazarde...
espy....my matroni..
!!!
Vip tatzo aisee maana wewe umetajwa hakuna alieguna juu yako
am good girl [emoji23]Vip tatzo aisee maana wewe umetajwa hakuna alieguna juu yako
Angejua daham good girl [emoji23]