Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
niache wivu tu [emoji23]Angejua dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niache wivu tu [emoji23]Angejua dah
Ha ha haa... hacha uchochezi.wanakujua nn au una mguu wa mtto
niambie tu kumbe watu wanakukimbiaHa ha haa... hacha uchochezi.
Ujue mtakuchapa shunie!!niambie tu kumbe watu wanakukimbia
Mie simoo wivu tena jamanniache wivu tu [emoji23]
bonny achana nae mnaa tuu...!!!Aww [emoji8] nakupenda geni sema bonny anasemaga utanifundisha ugomvi
bonny achana nae mnaa tuu...!!!Aww [emoji8] nakupenda geni sema bonny anasemaga utanifundisha ugomvi
huyu kasema huyu namjua vizuriii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we si uliniambia geni anachamba [emoji23] geni mwaya naropokwa tu wala hajawahi niambia
eb kwanza fakalava hivi mguu wa mtto unafananaje nahisi ww ndio utakua nayo mpk unakimbiwaUjue mtakuchapa shunie!!
Watoto ndiyo wananikimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu kasema huyu namjua vizuriii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unajikosha tuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
bonny achana nae mnaa tuu...!!!
Ha ha ha ha uzur sifa zangu ushaziweka hapo juu so unampoza tubonny achana nae mnaa tuu...!!!
Had heaven sent anajua shilawadu mzur tuunajikosha tuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
nakujua wewee....!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ha ha ha ha uzur sifa zangu ushaziweka hapo juu so unampoza tu
nakujua wewee....!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ha ha ha ha uzur sifa zangu ushaziweka hapo juu so unampoza tu
ngoja nianze na hawa
Daby huyu mtu nje ya jf anaonekana mtata yaan kama demu umetongozwa nae halaf umemlia hela yake atahakikisha mpk
akukule afidie hasara zake
Stunter aisee huyu chalii anaonekana nje ya jf bonge la msela yaan muhuni flan hivi bangi mkononi mshaelewa mtu wa hivyo yupoje
Sakayo huyu kutokana na nilivyomzoea nje ya jf anaonekana mpole sana tofauti akiwa jf
Daby kwann watu wachache niruhusu bas kesho niendelee niwataje kina Emmyta
Hakuna cha mguu wa mtoto, ni waoga tu, pia inategemea ni mtoto wa umri gani.eb kwanza fakalava hivi mguu wa mtto unafananaje nahisi ww ndio utakua nayo mpk unakimbiwa
ni kweli yupo hivyoHapo kwa Daby hapooooooo...nahis ni mkorofi kiaina hv.na anakupa makavu ukileta mizinguo.jirani yangu (daby)samahani lkni
mtoto wa umri gan kivipiHakuna cha mguu wa mtoto, ni waoga tu, pia inategemea ni mtoto wa umri gani.
Ukubwa wa mguu unategemea na umri wa mtoto. Lakini ukitaka kuujua ukubwa wake shuruti uuone, sasa kwanini uandikie mate na wino ungalipo?mtoto wa umri gan kivipi