Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

ngoja nianze na hawa
Daby huyu mtu nje ya jf anaonekana mtata yaan kama demu umetongozwa nae halaf umemlia hela yake atahakikisha mpk
akukule afidie hasara zake

Stunter aisee huyu chalii anaonekana nje ya jf bonge la msela yaan muhuni flan hivi bangi mkononi mshaelewa mtu wa hivyo yupoje

Sakayo huyu kutokana na nilivyomzoea nje ya jf anaonekana mpole sana tofauti akiwa jf

Daby kwann watu wachache niruhusu bas kesho niendelee niwataje kina Emmyta

Hapo kwa Daby hapooooooo...nahis ni mkorofi kiaina hv.na anakupa makavu ukileta mizinguo.jirani yangu (daby)samahani lkni
 
Back
Top Bottom