Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

Nimewezaaaaa........ mtankoma mbona? Asante sana. Mwaa... Sasa naanza..
Heaven Sent - nampenda huyu dada ana hekima na anaonekana kumjua Mungu.
And I guess you don't know yet how much I love you. And hujui tu how many times nasoma comments zako afu naishia tu kusema "Good Lord, I'm tapping into this kind of wisdom and intelligence". And I know hujui pia kuwa you are my Role Model in here and one of my darling sisters. #Blessings#
 
Miss u sana, niko huku kolomije nafanya research mtandao uasumbua sana.
Vijana wetu wanaendeleaje, najua wantatia timu sasa hivi.
Fanya urudi bwana maana hata kule sikuoni kabisaaaaa,huko kwa kina Bashite achana napo, vijana wapo vizuri shaka ondoa
 
geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu

emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia

Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro

Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ur crazy bonnyyy....!!!
 
nna wengi sana but
Nifah nampenda sana ni mtu Mwenye huruma sana and good advisor

Heaven sent love her sana tu ana sifa kama za nifah

Bonny my friend aiseehh!!bonge la mshikaji then very good person I don't regret to be my friend

Asprin comedian..

Shunie good girl

Warumi mbea mwenzangu na Dinazarde...

espy....my matroni..
!!!
 
Daby umesikia people they dont regreat so kuwa mpoleee mzee mwenzangu
 
nna wengi sana but
Nifah nampenda sana ni mtu Mwenye huruma sana and good advisor

Heaven sent love her sana tu ana sifa kama za nifah

Bonny my friend aiseehh!!bonge la mshikaji then very good person I don't regret to be my friend

Asprin comedian..

Shunie good girl

Warumi mbea mwenzangu na Dinazarde...

espy....my matroni..
!!!
Aww [emoji8] nakupenda geni sema bonny anasemaga utanifundisha ugomvi
 
Back
Top Bottom