Unajua nilipoteza funguo za chumba, nifanyie mpango wa kupata nyingine.mtoto wa umri gan kivipi
ulipotezaje we si ulikua unaingiaUnajua nilipoteza funguo za chumba, nifanyie mpango wa kupata nyingine.
Bahati mbaya tu, wallah nimepamiss chumbani nataka pumzika.ulipotezaje we si ulikua unaingia
ingia tuBahati mbaya tu, wallah nimepamiss chumbani nataka pumzika.
I have no an access to enter there.ingia tu
hahahhah pole sana ulichofanya mwenyewe unajuaI have no access to enter there.
Wait[emoji113], nimekumbuka kitu. Muda si mrefu nitakuwa na funguo mkononi.hahahhah pole sana ulichofanya mwenyewe unajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] jihashue tuu!!!Had heaven sent anajua shilawadu mzur tu
B. I'm happy to see you.
Haha..ninaukorofi kiasi chake. Hebu nitulie niandae sifa zako aseeh arifuuu.
Happy to see yo comment swry.
Mwandiko wako tu ulinionyesha kuwa unakaukorofi flan hv amazing [emoji6]
Hahahaha ninatusifa twangu twa ajabu ajabu kweli
Teh kwqngu eti huto unatotuona twa ajabu... tunanipa nguvu ya ajabu juu yako B...I love it chaliake.
Hebu tuweke nituone [emoji4][emoji4]Hahahaha utatuweza kweli!maana huwa nikipitiaga comments za watu wanaotafuta wapenzi,loh!naishiwaga nguvu kabisa.mwenzio ninapresha ya kudip [emoji23] nikituweka tucriteria twangu na kwa ninavyojijua..nitaumwa.[emoji23]
You know what joooo..nakufurahiaga sanaaaaaaaa.kele uwiiiiiiiih.
Love you too binamu akenna wengi sana but
Nifah nampenda sana ni mtu Mwenye huruma sana and good advisor
Heaven sent love her sana tu ana sifa kama za nifah
Bonny my friend aiseehh!!bonge la mshikaji then very good person I don't regret to be my friend
Asprin comedian..
Shunie good girl
Warumi mbea mwenzangu na Dinazarde...
espy....my matroni..
!!!
Hebu tuweke nituone [emoji4][emoji4]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Had heaven sent anajua shilawadu mzur tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji57] jihashue tuu!!!
Ok twende sasa..awe mcha Mungu mkristo,anipende,awe mrefu kiasi,awe mwemba kiasi, asiwe kibonge,awe na rangi ya kawaida tu hapa sina mashart saaaaaan lkn asiwe kaniki..mama yangu!!sijui nimtengeneze wangu tu..maana si kwa mashart haya.uwiiiiiiiii..sijui umenielewa luv.
Michambo [emoji1539]
Eh.. eh.. mimi? Nisipasuke tu kichwa kwa hizi sifa. I am humbled dearest. I love you more.And I guess you don't know yet how much I love you. And hujui tu how many times nasoma comments zako afu naishia tu kusema "Good Lord, I'm tapping into this kind of wisdom and intelligence". And I know hujui pia kuwa you are my Role Model in here and one of my darling sisters. #Blessings#
Wala usimchonge... ni vigezo vya kawaida vipo kwa wengi na mmojawapo nikiwepo.
Ila umenishtua umri sijauona maana kuna vibabu tuna miaka ya shetani
Ile michambo ninayoisomaga kule [emoji173]️ connect huwa naishiwaga pose.ohooooo nilisahau aise[emoji6]above 28 -45 mama yangu nitachambuliwa na watu ee hakuna tabu lkn maana hayo ndo mahitaji yenyewe au sio!eheee.elimu bhana sasa hapa jombaaa....huwi na mtu kwa ajili ya elimu yake si ndio ee...eheee ingawa ni muhimu sana maana mwenye elimu ni mwenye elimu tu uelewa wa kung'amua mambo huwa tofauti kabisa compare na ambae hana.chalii angu mi niishie hapa maan huyu mtu ninaemtaka nahisi nitamuumba mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani sis wanawake bhna!haya ndo hivyo maan loh!!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji111]️️[emoji111]️️[emoji111]️️