Describe and explain anything about HIm/HEr

Hapo kwa Daby hapooooooo...nahis ni mkorofi kiaina hv.na anakupa makavu ukileta mizinguo.jirani yangu (daby)samahani lkni
B. I'm happy to see you.

Haha..ninaukorofi kiasi chake. Hebu nitulie niandae sifa zako aseeh arifuuu.
 
Happy to see yo comment swry.

Mwandiko wako tu ulinionyesha kuwa unakaukorofi flan hv amazing [emoji6]

Hahahaha ninatusifa twangu twa ajabu ajabu kweli
 
Teh kwqngu eti huto unatotuona twa ajabu... tunanipa nguvu ya ajabu juu yako B...I love it chaliake.
 
Hahahaha utatuweza kweli!maana huwa nikipitiaga comments za watu wanaotafuta wapenzi,loh!naishiwaga nguvu kabisa.mwenzio ninapresha ya kudip [emoji23] nikituweka tucriteria twangu na kwa ninavyojijua..nitaumwa.[emoji23]

You know what joooo..nakufurahiaga sanaaaaaaaa.kele uwiiiiiiiih.
 
Hebu tuweke nituone [emoji4][emoji4]
 
nna wengi sana but
Nifah nampenda sana ni mtu Mwenye huruma sana and good advisor

Heaven sent love her sana tu ana sifa kama za nifah

Bonny my friend aiseehh!!bonge la mshikaji then very good person I don't regret to be my friend

Asprin comedian..

Shunie good girl

Warumi mbea mwenzangu na Dinazarde...

espy....my matroni..
!!!
Love you too binamu ake
 
Hebu tuweke nituone [emoji4][emoji4]

Ok twende sasa..awe mcha Mungu mkristo,anipende,awe mrefu kiasi,awe mwemba kiasi, asiwe kibonge,awe na rangi ya kawaida tu hapa sina mashart saaaaaan lkn asiwe kaniki..mama yangu!!sijui nimtengeneze wangu tu..maana si kwa mashart haya.uwiiiiiiiii..sijui umenielewa luv.

Michambo [emoji1539]
 
Wala usimchonge... ni vigezo vya kawaida vipo kwa wengi na mmojawapo nikiwepo.
Ila umenishtua umri sijauona maana kuna vibabu tuna miaka ya shetani
 
And I guess you don't know yet how much I love you. And hujui tu how many times nasoma comments zako afu naishia tu kusema "Good Lord, I'm tapping into this kind of wisdom and intelligence". And I know hujui pia kuwa you are my Role Model in here and one of my darling sisters. #Blessings#
Eh.. eh.. mimi? Nisipasuke tu kichwa kwa hizi sifa. I am humbled dearest. I love you more.
 
Wala usimchonge... ni vigezo vya kawaida vipo kwa wengi na mmojawapo nikiwepo.
Ila umenishtua umri sijauona maana kuna vibabu tuna miaka ya shetani

Ile michambo ninayoisomaga kule [emoji173]️ connect huwa naishiwaga pose.ohooooo nilisahau aise[emoji6]above 28 -45 mama yangu nitachambuliwa na watu ee hakuna tabu lkn maana hayo ndo mahitaji yenyewe au sio!eheee.elimu bhana sasa hapa jombaaa....huwi na mtu kwa ajili ya elimu yake si ndio ee...eheee ingawa ni muhimu sana maana mwenye elimu ni mwenye elimu tu uelewa wa kung'amua mambo huwa tofauti kabisa compare na ambae hana.chalii angu mi niishie hapa maan huyu mtu ninaemtaka nahisi nitamuumba mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani sis wanawake bhna!haya ndo hivyo maan loh!!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji111]️️[emoji111]️️[emoji111]️️
 
[emoji4][emoji4]
Utamuumba mwenyewe kwa maana ya kuwa mme anatengenezwa. Umenipata eeh. Haji kwa vuupuu huyu hapa. Lazima ziwepo stages hahahaha. Kama vile leo Salam kesho stori keshokutwa kiss hivyo yaani....

[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom