Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ha ha ha ni wewe huyo huyo. Ukiweza kupasuka; pasuka tu kwa kweli lol. But that's exactly what you mean to me.Eh.. eh.. mimi? Nisipasuke tu kichwa kwa hizi sifa. I am humbled dearest. I love you more.
[emoji4][emoji4]
Utamuumba mwenyewe kwa maana ya kuwa mme anatengenezwa. Umenipata eeh. Haji kwa vuupuu huyu hapa. Lazima ziwepo stages hahahaha. Kama vile leo Salam kesho stori keshokutwa kiss hivyo yaani....
[emoji4][emoji4][emoji4]
Chemistry ni kitu muhimu pia...zikishaendana kazi ya kubadilishana ni ndogo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumuumba ni utani naanzaje kumuumba mtu jmn ila kurekebishan tutarekebishana hata kwa mabom na mitutu ingawa huchukua mda kurekebika lkni fulu burdani.halla!
Chemistry ni kitu muhimu pia...zikishaendana kazi ya kubadilishana ni ndogo tu
Umeniacha ujueee.. sijui ubashite ila vyeti mbona ninavyo!Halafu inaonekana wewe ni bonge la mwelewa ee na ujanja ujanja mtu hakudanganyi.na nija za ujanja unazijua sana tu[emoji6] mwandiko wako umenionyesha hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniacha ujueee.. sijui ubashite ila vyeti mbona ninavyo!
Fafanua hapo swirii
[emoji15]!sawa jirani bashite.yani yani hata sijui niiwekeje aise em ngoja nijaribu.
Kama mtu anakuletea utoto wa mjini unamwlewe mapema.yan kama mtu abakuingiza chaka unajua kabisa hili chaka ili ila unakausha.nikiandika zidi nitaharibu drln.
Usipoelewa itabidi niiwasilishe tena kwa msaada wa watu wa marekan au wa China.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](ujumbe huuu umeletwa kwen kwa msaada wa TAC AIDS.kiddin..)
Nakucheki tuList goes on..
3. Mondray..
Wahusika wengi wanatabia zile zile..so hizi hizi za jf nyingi ndizo tabia zao nje ya jf..
Mondray..
Ni kijana bado hajaona..
Ni mtu mpole anaependa kijifunza vitu..
Anapenda sana totoz na akipata madada wa town watamliza manake hana ile janja ya town..
Kuna maisha anatamani kufikia ila bado hajaweza..
Keep it up mondray..
4. Sakayo
Huyu ni mjasiria mali na mwanamke mtafutaji..
Huyu mwanamke ana msimamo (common standing) katk mipango yake..
Sakayo ana anajipenda na kujijali ila pia ana wivu wa mapenzi kwa mtu anaempenda
Fakalava;Nitarudi mama watoto wangu, japo utafutaji umeniweka mbali nawe.
Wapi huoni? Au unamaanisha wazap?
Hapa sasa [emoji23][emoji23]Fanya urudi bwana maana hata kule sikuoni kabisaaaaa,huko kwa kina Bashite achana napo, vijana wapo vizuri shaka ondoa
Hahahaaa!Nakucheki tu
Sawa bwana.
Ila kama vile umetaka kupatia baadhi ya vitu
Baadhi umepatia hasa paleee kwenye kubwaazHahahaaa!
Nimepatia 90%
Hahaha... nipo hivyo kweli.
That's why I love you.
Nimeelewa bhana na ubashite huu ila sijafikia hatua ya kuombewa msaada wa wamarekani tena Aids [emoji16][emoji16]
Najua wewe si wa sport sport hutakagi msaada wa watu wa canada wala nini.
Kama kweli upo hivyo,naana kuwa mtabir rasmi nikuze kipato [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Love u back drln.
[emoji445][emoji445]moyo[emoji445][emoji445]by dito.
C'mmon B..moyo sukuma Daby and not blood.
Au unasemaje mamiloo!