List goes on..
3. Mondray..
Wahusika wengi wanatabia zile zile..so hizi hizi za jf nyingi ndizo tabia zao nje ya jf..
Mondray..
Ni kijana bado hajaona..
Ni mtu mpole anaependa kijifunza vitu..
Anapenda sana totoz na akipata madada wa town watamliza manake hana ile janja ya town..
Kuna maisha anatamani kufikia ila bado hajaweza..
Keep it up mondray..
4. Sakayo
Huyu ni mjasiria mali na mwanamke mtafutaji..
Huyu mwanamke ana msimamo (common standing) katk mipango yake..
Sakayo ana anajipenda na kujijali ila pia ana wivu wa mapenzi kwa mtu anaempenda