Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu

emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia

Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro

Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
Mzee mwenzangu naona umetuweka viitikio.

Ila Asprin bhana anachekesha saana huyu jamaa.
 
Kwangu wa tatu.
Ni espy
Huyu shemeji yangu anapenda kujikuza saana. Ni katoto ka juzi ila utaskia mimi mkubwa eti
Yeye kila mwaka anabadilisha mwanaume. Nikaona basi isiwe shida nimpe jina shemeji ili kumrahishia kazi.

Anapenda pesa ila ni kwa misimu. Kama kipindi hiki naona suala la pesa hajaligusia. Ukimkuta yupo serious ni malkia wa nguvu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemeji mie napenda pesa misimu yote kuanzia kiangazi, kipupwe hadi masika bwana.

Shemeji mbona sibadilishi sana list sio ndeeefu kivile, ni mmoja tu MO11.

Si unajua vile ninakukubali eeeh[emoji109] [emoji109]
Alafu tokea uanze kunidogoisha mbona sioni matokeo chanya? Hebu harakisha basi.
 
Toka uanze kupost jf nmekuelewa leo tu kwenye hako kamstari kenye rangi shemeji.

Nashukuru kwa ushauri tutakutana kule.
 
Back
Top Bottom