Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #121
Mzee mwenzangu naona umetuweka viitikio.geniveros huyu mtu hata sielew ilianzaje ila ghafla tukajikuta ni.marafik wa Karibu sana ki ukwel kwa jinsi nnavyomuona atakua mama fulan hv mwenye heshima zake ambae busara imejaa ila tu kwa story za celebrities tu namuona kama.wale ndugu zangu wa tandale kwa bi nyau maana humkos kwenye post za wema diamond na bongo muvie yote ila naamin Ana roho nzur tu
emmyta kwanza kwa maono yangu binti fulan muoga hv kila nikiangalia avatar naona kabisa mshika Dini ila muoga fulan wa ku comment ila naamin kuna maeneo ukimgusa bas utaona upande wake wa pili MMU Ndio jukwaa lake la kujiskia
Asprin baba la baba mtu mzima fulan ila ni wale wazee vijana huwez kumpiga fix kirahis na kizembe zembe akakubal yuko Vizur kwa totoz na anamain yeye kama wine anavyozeeka ndio anavyozid kuwa McHaro
Shunie tya02 Daby eddy muhando fakalava Raimundo espy nikipewa nafas ya upendleo ntawaelezea vizur
Ila Asprin bhana anachekesha saana huyu jamaa.