Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
biblia ni written speech kama ilivyoandikwa na yule mzungu paulo na wenzake hivyo kuna kasoro nyingi sana na uongo mwingi sana,na mtu akishafanya kua ni imani yake inakua ngumu mtu kushtuka mpaka Mungu amasaidie.
Tofauti na Quraan ambayo ni spoken speech kutoka kwa Mungu mwenywe .hivyo haina kasoro hata chembe, na huu ni muujiza kwa sababu spoken speech huwa ina erros na haikupi mda kwa kurekebisha ulichosema awali.Ufundi wa Mungu ndo umeonekana hapo.
leo hii hii spoken speech watu wameimeza toka enzi hizo mpaka leo hakuna kuedit.
unlike biblia ambayo ina matoleo kibao kucope na wanakondoo wa sasa,
hivi unajua yesu kafanya mangapi mpaka umri wa miaka 30????ukiacha mitume walioishi miaka mingi zaid ya yesu duniani km mussa.elliya na wengineo
Mkuu nimeonyesha double standard wapi?
Biblia ni human fabrication sawa, Quraan haina mkono wa mtu cause Prophet Muhammad pbuh hakujua kusoma wala kuandika , he was ignorant ,mpangilio wa hii speech isiyokua na erros aliokua akiipokea its beyond his intellectual abilities.

Salute mkuu,your mind is very free.You suffers From selective Skepticism
why you Defend Quran By Ignoring Bible?
Umetumia Sheria Ipi kuitetea Quran?na sheria ipi kuipinga Biblia?
Ujinga wa Mtume Mohammad siyo Kigezo cha kuthibitisha Ukamilifu wa Quran.Tangu lini ujinga ukawa uthibitisho wa ukamilifu?
unadai kuwa Bible ni Written Record na Quran ni Spoken speech
unajua Maana ya spoken speech au ulitaja tu?
In reality,written speech has Greater Accurancy than Oral one.
Kama unadhana Quran ni Absolute Perfect Basi unajidanganya.
Bible&Quran vyote vina kasoro kwasababu ni Mawazo ya Mwanadamu.
biblia ni written speech kama ilivyoandikwa na yule mzungu paulo na wenzake hivyo kuna kasoro nyingi sana na uongo mwingi sana,na mtu akishafanya kua ni imani yake inakua ngumu mtu kushtuka mpaka Mungu amasaidie.
Tofauti na Quraan ambayo ni spoken speech kutoka kwa Mungu mwenywe .hivyo haina kasoro hata chembe, na huu ni muujiza kwa sababu spoken speech huwa ina erros na haikupi mda kwa kurekebisha ulichosema awali.Ufundi wa Mungu ndo umeonekana hapo.
leo hii hii spoken speech watu wameimeza toka enzi hizo mpaka leo hakuna kuedit.
unlike biblia ambayo ina matoleo kibao kucope na wanakondoo wa sasa,
Well said einstein newton
Mkuu ujinga wa muhamad ni kitu kingine kabisa wala ujinga wake hauhusiani kuthibitisha ukamilifu wa quran. Katika hivyo vitabu viwili vyote vina contradictions nyingi sana yani unahitajika kuwa na roho ngumu sana kuweza kujifanya huoni matatizo yaliyomo humo.
Cc aretasludovick, benie 369
siku halisi aliyozaliwa yesu haijulikani!
na christmass haikuingizwa kima kosa bali ilikuwepo kabla ya yesu.
You suffers From selective Skepticism
why you Defend Quran By Ignoring Bible?
Umetumia Sheria Ipi kuitetea Quran?na sheria ipi kuipinga Biblia?
Ujinga wa Mtume Mohammad siyo Kigezo cha kuthibitisha Ukamilifu wa Quran.Tangu lini ujinga ukawa uthibitisho wa ukamilifu?
unadai kuwa Bible ni Written Record na Quran ni Spoken speech
unajua Maana ya spoken speech au ulitaja tu?
In reality,written speech has Greater Accurancy than Oral one.
Kama unadhana Quran ni Absolute Perfect Basi unajidanganya.
Bible&Quran vyote vina kasoro kwasababu ni Mawazo ya Mwanadamu.
Mkuu mimi nimeona niwe mtazamaji tu nisije kuwakera watu wakiadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwa mungu wao.
Mkuu we kuwa huru tu, maana sio wewe uliewaambia kusherekea huku wakijua fika kuwa hiyo tarehe ni feki. Merry Christmas in advance 🍷🍷🍷🍷