Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Heshima kwenu wadau,

Inawezekana hili swali likawa limejadiliwa sana hapa, ila nimejaribu kutafuta huo uzi nimeshindwa kuupata, swali langu ni hili hapa,

Je december 25 ambayo si siku ya chrismass ambayo twaambiwa alizaliwa kristo ni kweli alizaliwa siku hiyo au twaadhimisha tu kama kumbukumbu yake?

Kwa mujibu wa Biblia takatifu, Injili ya luka mtakatifu inasema " Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.

28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

kama maandiko matakatifu yanasema kuwa Maria mtakatifu alipata mimba mwezi wa sita manake tungetarajia kujifungua mwezi wa tatu au wa pili mwishoni.

Swali lingine ambalo ningependa kwa mwenye ujuzi ni je zamani walikua wanatumia kalenda gani kuhesabau siku? nadhani hapa ndipo ukweli wa mambo ulipo.

Naomba kufahamu kwa wenye ujuzi wa mambo ya kiroho na wanahistoria.

NA MUNGU AWABARIKI SANA.
 
Kalenda iluyotumika ni ya kigiriki mwezi aliozaliwa
Yesu kwa kiebrania unaitwa Nissani ambao nisani ni wakati wa spring. Kufanya dec 25 kama siku ya kuzaliwa Yesu ilikuwa ni move ya kuondoa ibada za kipagani za warumi zilizoadhimishwa siku hiyo so wakaifuta kwa kuingiza siku ya kuzaliwa Yesu.
 
christmass,"the feast of the unconquered sun"

nini maana ya neno "christmas"?,christmass ni muunganiko wa maneno mawili "christ" na "mas"
christ ni kristo,lakini nini maana ya "mas"au mass?

mass:"
mass is service that is held to remember the death of any person for whom the mass is held"...

maana ya "mass" itakushangaza zaidi,kwahiyo unaposema merry christmass,unamaanisha "heri kifo cha kristo,..senseless!..tunafurahia kuzaliwa kwa yesu au kifo chake?...jibu ni kifo chake!

Asili halisi ya christmass ni hii;..Roman empire chini ya constantantine iliunganisha dini zote za kipagani pamoja na kikristo na kuunda kanisa linaloitwa Roman catholic,ili kuunganisha dini zote ilibidi waunganishe pia mafundisho yao,moja kati ya hayo mafundisho ni sherehe ya kifo cha mungu tammuzi ambaye alizaliwa 24-12 akafa usiku wa tarehe 25 december(ref;encyclopeda brittanica,volume 11)

SANTA =S-A-T-A-N,huyo ndiye father christmass,teh teh teh

zamani walikuwa wanatumia julian calender kabla ya gregorian calender!
 
Thanks Mkuu Balacuda

kwa maelezo yako inaonyesha kuwa siku ambayo tunasherehekea siku ya kuzaliwa kristo kwamba sio siku halisi ambayo alizaliwa, kama una uelewa vizuri na tarehe halisi ambayo kristo alizaliwa, Je unaweza kunitajia ili na mimi niwe na ufahamu huo?

Asante mkuu.
 
Last edited by a moderator:
christmass,"the feast of the unconquered sun"

nini maana ya neno "christmas"?,christmass ni muunganiko wa maneno mawili "christ" na "mas"
christ ni kristo,lakini nini maana ya "mas"au mass?

mass:"
mass is service that is held to remember the death of any person for whom the mass is held"...

maana ya "mass" itakushangaza zaidi,kwahiyo unaposema merry christmass,unamaanisha "heri kifo cha kristo,..senseless!..tunafurahia kuzaliwa kwa yesu au kifo chake?...jibu ni kifo chake!

Asili halisi ya christmass ni hii;..Roman empire chini ya constantantine iliunganisha dini zote za kipagani pamoja na kikristo na kuunda kanisa linaloitwa Roman catholic,ili kuunganisha dini zote ilibidi waunganishe pia mafundisho yao,moja kati ya hayo mafundisho ni sherehe ya kifo cha mungu tammuzi ambaye alizaliwa 24-12 akafa usiku wa tarehe 25 december(ref;encyclopeda brittanica,volume 11)

SANTA =S-A-T-A-N,huyo ndiye father christmass,teh teh teh

zamani walikuwa wanatumia julian calender kabla ya gregorian calender!

Heshima kwako mkuu @einstein newton

nimesoma maelezo yako ila bado sijaelewa vizuri, Je kwa mujibu wa maelezo yako yako ni kwamba siku ya tarehe 25 december si siku halisi ambayo kristo alizaliwa?

Na Je hii walifanya makusudi kupotosha au ilitokea kwa bahati mbaya wakati wa upangaji wa kalenda?

as per maelezo yako kuhusu neno christmass na jinsi ulivyokokotoa ni kwamba tunasherehekea siku ya kufa kwa mungu wa kirumi as known kama SANTA=SATAN, Je mtawala wa wakati huo wa kirumi alifanya hii makusudi au ilitokea kwa bahati mbaya au alikua anafanya connections kwa watawaliwa wengine ili kuunganisha zile dini zingine za jadi ziwe kitu kimoja kama mkuu Balacuda alivyosema hapo juu?

Thanks mkuu, natarajia nitapata ufahamu kupitia kwako.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo Mleta Mada Unataka Kusema Malaika Gabriel alipomtembelea Basi ndo Siku Aliyopata Mimba......? Au
 
siku halisi aliyozaliwa yesu haijulikani!

na christmass haikuingizwa kima kosa bali ilikuwepo kabla ya yesu.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wadau,

inawezekana hili swali likawa limejadiliwa sana hapa, ila nimejaribu kutafuta huo uzi nimeshindwa kuupata, swali langu ni hili hapa,

Je december 25 ambayo si siku ya chrismass ambayo twaambiwa alizaliwa kristo ni kweli alizaliwa siku hiyo au twaadhimisha tu kama kumbukumbu yake?

kwa mujibu wa Biblia takatifu, Injili ya luka mtakatifu inasema " Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

kama maandiko matakatifu yanasema kuwa Maria mtakatifu alipata mimba mwezi wa sita manake tungetarajia kujifungua mwezi wa tatu au wa pili mwishoni.

Swali lingine ambalo ningependa kwa mwenye ujuzi ni je zamani walikua wanatumia kalenda gani kuhesabau siku? nadhani hapa ndipo ukweli wa mambo ulipo.

Naomba kufahamu kwa wenye ujuzi wa mambo ya kiroho na wanahistoria.

NA MUNGU AWABARIKI SANA.

Elewa hili labda litakusaidia siku zijazo Hakuna anayefahamu Yesu alizaliwa lini (Siku) kwa maana hiyo basi ndiyo maana Wakristo husherehekea kuzaliwa kwa Yesu Krsisto na SIYO SIKU YA KUZALIWA YESU elewa hiyo tofaufi kati ya siku ya kuzaliwa na kuzaliwa Yesu!
 
Kwahiyo Mleta Mada Unataka Kusema Malaika Gabriel alipomtembelea Basi ndo Siku Aliyopata Mimba......? Au

Heshima kwako @RGforever

Naomba kabla hujachangia soma kwanza bandiko vizuri sana, Bible takatifu inasema bikira maria alipata mimba mwezi wa sita na yesu alizaliwa tarehe 25 december kwa maana ya miezi saba mbele baada ya kupata ujauzito bikira maria akajifungua mtoto yesu, nilichotaka kujua ni kwamba kwa sayansi mtoto anaezaliwa akiwa na miezi saba au sita ni ngumu sana kuishi sababu anakua ni njiti (hajatimiza miezi 9 )

Swali, Je tunasherehekea siku ambayo kweli yesu alizaliwa au ni watawala tu wa kale waliamua kuiweka hii siku kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na haikuwa siku halisi?
 
Kwan hakuna mtoto anazaliwa na miez 7??

yap!..lakini ni premature.

watoto kama hao(premature)bila uangalizi maalum hufa masaa kadha tu baada ya kuzaliwa.

lakini kumbuka yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na siyo hospital

sasa kama angekuwa premature angelikufa kwa kukosa hewa kabla hata ya mamajusi kufika!

inawezekana yesu alikuwa "premature"?..teh teh teh,

ngoja wakristo waje!
 
Elewa hili labda litakusaidia siku zijazo Hakuna anayefahamu Yesu alizaliwa lini (Siku) kwa maana hiyo basi ndiyo maana Wakristo husherehekea kuzaliwa kwa Yesu Krsisto na SIYO SIKU YA KUZALIWA YESU elewa hiyo tofaufi kati ya siku ya kuzaliwa na kuzaliwa Yesu!

"we live in age of smartphone and stupid peoples"

mkuu,kusherekea siyo tatizo,tatizo ni pagan-root ya christmass

halafu kama wewe unaamini biblia,hakuna sehemu yoyote ambayo yesu wenu alisema mkumbuke kuzaliwa kwake

kama ipo ilete hapa,mkuu tujifunze!
 
Unachanganya mambo hapa! Nilikuwa tu najaribu kumsahihisha mleta mada alipouliza kuhusu Wakristo wanasherehekea siku ya kuzaliwa Kristo, ndiyo nikamjibu kwamba wakristo wanasherehekea kuzaliwa kwa kristo na siyo siku ya kuzaliwa!

Sasa hayo mambo ya Upagani au sijui Biblia imeorodhesha siku ya kuzaliwa kristo au la hiyo ni mada nyingine, mimi nilikuwa nataka kumsahihisha tu kulingana na swali lililoulizwa!

kumbe?...Good luck!
 
yap!..lakini ni premature.

watoto kama hao(premature)bila uangalizi maalum hufa masaa kadha tu baada ya kuzaliwa.

lakini kumbuka yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na siyo hospital

sasa kama angekuwa premature angelikufa kwa kukosa hewa kabla hata ya mamajusi kufika!

inawezekana yesu alikuwa "premature"?..teh teh teh,

ngoja wakristo waje!

Khaaaaa eti nin? Premature 😨😨
 
christmass,"the feast of the unconquered sun"

nini maana ya neno "christmas"?,christmass ni muunganiko wa maneno mawili "christ" na "mas"
christ ni kristo,lakini nini maana ya "mas"au mass?

mass:"
mass is service that is held to remember the death of any person for whom the mass is held"...

maana ya "mass" itakushangaza zaidi,kwahiyo unaposema merry christmass,unamaanisha "heri kifo cha kristo,..senseless!..tunafurahia kuzaliwa kwa yesu au kifo chake?...jibu ni kifo chake!

Asili halisi ya christmass ni hii;..Roman empire chini ya constantantine iliunganisha dini zote za kipagani pamoja na kikristo na kuunda kanisa linaloitwa Roman catholic,ili kuunganisha dini zote ilibidi waunganishe pia mafundisho yao,moja kati ya hayo mafundisho ni sherehe ya kifo cha mungu tammuzi ambaye alizaliwa 24-12 akafa usiku wa tarehe 25 december(ref;encyclopeda brittanica,volume 11)

SANTA =S-A-T-A-N,huyo ndiye father christmass,teh teh teh

zamani walikuwa wanatumia julian calender kabla ya gregorian calender!
Huu uzushi kwa wapuu..zi kama wewe unaweza wsingiza chaka....

Ngoja nikae sawa nakurudia..
 
The point is not about historical exactness but faith. Jesus was truly born but no one knows the exact date. What is important is to emulate his life on love and compassion to one another.
 
Unachanganya mambo hapa! Nilikuwa tu najaribu kumsahihisha mleta mada alipouliza kuhusu Wakristo wanasherehekea siku ya kuzaliwa Kristo, ndiyo nikamjibu kwamba wakristo wanasherehekea kuzaliwa kwa kristo na siyo siku ya kuzaliwa!

Sasa hayo mambo ya Upagani au sijui Biblia imeorodhesha siku ya kuzaliwa kristo au la hiyo ni mada nyingine, mimi nilikuwa nataka kumsahihisha tu kulingana na swali lililoulizwa!

Nzuri.....
 
Back
Top Bottom