Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

Mkuu, KakaJambazi

Inawezekana kwa hisia tu, ila kwa hali ya kawaida haiwezekani, Mungu ndiye anaewaunganisha na ni yeye ndie alieweka hizo fomula za mimba kukaa kipindi cha miezi tisa tumboni ndipo kichanga kizaliwe.

Basi huyu sio Mungu, Mungu ninaye mjua mm ni mwenye uwezo wote, ndo mana hata Yesu alizaliwa kwa uwezo, sio ka ww kwa njia ya ngono.
 
Last edited by a moderator:
Siku ya kusaliwa,na siku ya kuzaliwa yesu tofauti iko wapi?ukweli ni kwambwa ni tarehe ya kubuni ndiyo sababu madhehebu mengine ya kikristu hayaadhimishi siku hiyo sababu haiko kwenye maandishi.
 
Basi huyu sio Mungu, Mungu ninaye mjua mm ni mwenye uwezo wote, ndo mana hata Yesu alizaliwa kwa uwezo, sio ka ww kwa njia ya ngono.

kama angezaliwa tofauti na miezi tisa, basi naamini Biblia ingeandika kwani huo ungekuwa ni sehemu ya Miujiza. kwa vile Biblia haikuandika umri wa mimba ya Yesu kwenye tumbo la mama yake inaniaminisha ilikuwa ni umri wa kawaida (miezi 9).
 
Siku ya kuzaliwa,na siku ya kuzaliwa yesu tofauti iko wapi?ukweli ni kwamba ni tarehe ya kubuni ndiyo sababu madhehebu mengine ya kikristu hayaadhimishi siku hiyo sababu haiko kwenye maandishi.
 
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.

Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?
 
wewe umenena mkuu!

sasa kuna mtu huko juu anakwambia wao wanasherekea kuzaliwa kwa yesu na siyo siku yake....Absurd.

kwanini iwe 25 december?
 
kama angezaliwa tofauti na miezi tisa, basi naamini Biblia ingeandika kwani huo ungekuwa ni sehemu ya Miujiza. kwa vile Biblia haikuandika umri wa mimba ya Yesu kwenye tumbo la mama yake inaniaminisha ilikuwa ni umri wa kawaida (miezi 9).

Naungana na wewe mkuu.

Nataka kujua pia kwanini waliamua christmass iwe tarehe 25, kama una madini ya hiyo kitu naomba uweke hapa na sisi ambao hatujui tuweze kujua ukweli wa mambo.
 
Hilo twalijua, Yesu alikuwepo kabla hata ya Ulimwengu kuwako, Ila kitu ambacho tunahitaji kujua ni tarehe ngapi alizaliwa? Je hii siku ambayo twaadhimisha christmass au siku tofauti na hiyo? Hapo ndipo msingi wa swali langu ulipojikita.

inasadikika jesus alizaliwa mwezi wa kumi(ila sina evidensi yeyote) hii ishu ya tarehe25 kuwa ndio alizaliwa jesus haina ukweli wowote na hata ukiwauliza mapadri hili suala wanalijua,... .. .kwa kuwa dini ni iman inayozuia kuhoji/kuelewa sana usitegemee kama kuna muumin yeyote hapa atakayekupa jibu la uhakika.
 
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.

Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?

Naomba kujua upo darasa la ngapi na una umri gani?
 
inasadikika jesus alizaliwa mwezi wa kumi(ila sina evidensi yeyote) hii ishu ya tarehe25 kuwa ndio alizaliwa jesus haina ukweli wowote na hata ukiwauliza mapadri hili suala wanalijua,... .. .kwa kuwa dini ni iman inayozuia kuhoji/kuelewa sana usitegemee kama kuna muumin yeyote hapa atakayekupa jibu la uhakika.

Mkuu bado sijakusoma kabisa, Biblia inasema kuwa Maria alipata mimba mwezi wa sita sasa ilikuaje akajifungua mwezi wa Kumi?

Ingawa umesema huna evidence ila kwa swala la mwezi wa kumi hapo ndipo pataleta contradictions zaidi.
 
kama angezaliwa tofauti na miezi tisa, basi naamini Biblia ingeandika kwani huo ungekuwa ni sehemu ya Miujiza. kwa vile Biblia haikuandika umri wa mimba ya Yesu kwenye tumbo la mama yake inaniaminisha ilikuwa ni umri wa kawaida (miezi 9).

Biblia yenyewe inasema ka yote yangeandikwa, basi ulimwengu huu usingetosha kwa ukubwa wa li biblia ambalo lingetengenezwa. Ndo mana hakuna sehemu pameandikwa Yesu ameoga, kufua, anapiga mswaki etc. Je sisi tunaofanya tunatoa mamlaka hayo kwa nani? Ukataka kuielewa biblia unapaswa ujazwe na roho mtakatifu akufungulie.
 
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.

Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?

correctly... .. .yule jamaa anaitwa BRIAN DECON ni muingereza mwenye asili ya israel na wala sio yesu.
 
KakaJambazi mi nina shida ya kujazwa roho mtakatifu je unaweza nisaidia?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni tarehe ya kuzaliwa mungu jua tamuzi.
Nilikuwa ikishangiliwa kwa miti km miti ya xmass. Soma bibilia kitabu cha ezekiel hiyo tarehe imeetajwa. Usidanganyike. Hpo ni upagani uliovaa joho LA ukristo
 
correctly... .. .yule jamaa anaitwa BRIAN DECON ni muingereza mwenye asili ya israel na wala sio yesu.

Mkuu, ile film imechezwa mwaka 1979 kama sitokosea, kwa muonekana wake na zile nywele seems kuna sehemu waliotoa taswira ndio maana aka-act katika muonekano ule.

Swali kwako, Je unataka kuniambia kabla ya mwaka 1979 muonekano wa picha ya Yesu ulikuaje?
 
biblia yenyewe inasema ka yote yangeandikwa, basi ulimwengu huu usingetosha kwa ukubwa wa li biblia ambalo lingetengenezwa. Ndo mana hakuna sehemu pameandikwa yesu ameoga, kufua, anapiga mswaki etc. Je sisi tunaofanya tunatoa mamlaka hayo kwa nani? Ukataka kuielewa biblia unapaswa ujazwe na roho mtakatifu akufungulie.

nakubaliana na wewe, ila nafikiri hayakuandikwa yale aliyoyafanya yesu, ila naamini kama angezaliwa tofauti na kawaida ya miezi 9, imani yangu inanipa malaika gabriel angemwambia maria siku ile aliyomwambia kuhusu mimba. Lakini kwa vile haikusemwa naamini nim miezi 9. Tusilazimishe, tutafakari kidogo, tuende kisayansi tutafikia jibu...
 
Mkuu hapo ndipo sintofahamu inapoanza, Nilitegemea watafiti wangefanya hata assumptions ambazo zingekuja na majibu walau ya kujirizisha na lini tarehe halisi Yesu alizaliwa na hata kama sio tarehe basi hata mwezi.

Kuna Jamaa kaja hapa na kitu kimpya kwangu, anasema hata ile picha ambayo tunasema ni ya Yesu sio halisi, Je wewe unakubaliana na yeye?

yupo sahihi mkuu..jewishs hawakuwa hodari sana katika sanaa kama walivyokuwa wayunani wa kale na kamera ya kwanza ilitengenezwa mwishoni mwa karne ya 19.(kama sijakosea)

kwahiyo picha yoyote unayoiona ni artist's impression tu
 
Back
Top Bottom