Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Tatizo huyo ngedere anatumia njozi za Ellen G White kufasiri Biblia....kama historia yako mwenyewe inakusumbua unataka tukusaidie nini sasa cha ziada mkuu
umeanza kuwakana ndugu zako wa miaka ya 1844 sio, utaelewa tu nachomaanisha nafikiri uliponiletea mfano wa kibwetele uliwasahau ndugu zako wapiga ramli wa kule marekani. au ulidhani kanisa linajishughulisha na mambo ya tabiri tabiri za kinabii ?. lilitumwa kuhubiri injili na kutafuta kilichopotea tu.
ukitaka kujua na kuelewa kwa kina mambo ninayoamini mimi usiteseke na mitandao au .com au nani kasema nini au kafundisha nini. ILA TAFUTA BIBLIA USOME ni kwa njia hiyo tu utaelewa vizuri mambo ya imani yangu. ukiona biblia ni ngumu au ni kubwa tafuta CREDO ujisomee kwani yamefanyiwa sumary humo.