EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
naona hata biblia yenyewe sasa imekushinda ndo maana unakimbilia vitabu ambavyo viko juu ya uwezo wako. bahati mbaya zaidi hardcopy ya kitabu unachonukuu HUNA ulichobakiza ni viquotation vya www.com nakuja kutusumbua humu
Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.
yohane 21:25
Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
mkuu mitale na midimu tuoneshe ubaya/upotofu wa hiyo katekisim uko wapi ?. (hata kama sio ya kanisa katoliki tuoneshe upotofu wake ulipo)
yohane 20:30Can you learn to save your soul just by reading the Bible? No...because the Bible does not have everything God taught."
'' Je unaweza kujifunza kuokoa nafsi yakonkwa kusoma bibilia tu ? ... HAPANA kwa sababu bibilia haina kila kitu Mungu alichofundisha (A Catechism for Adults, Q. 1, p. 52).