Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Aiseee sisis dini zetu haziruhusu
Tatizo kuna watu watatoa design wakiwa wamelewa yaani anaweza kukupa ramani ya uwanja wa mpira/ndege.
Nakutumia PM ramani kadhaa kabla sijaenda bar.
Mtaji wangu mie sio mkubwa mkuuZinauzwa mkuu labda nikuunganishe na mtaalamu wa majengo
sawa naelewa...nimeomba kwa wale inayoruhusu
Pombe haram Mkuu
Sawa mkuu
Siku ya uzinduzi unistue nije kutia baraka kidogo
Mtaji upooooooo lakini atleast ten M