Design ya lounge na club

Design ya lounge na club

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34,962
Reaction score
70,576
Wanajamvi,
Naombeni msaada wa kupewa design nzuri na za kisasa za lounge na club!
Kwamba lounge iwe na makuti kwa juu sio bati..

Nini na nini natakiwa niwe nacho kuanzisha hyo lounge na club.
Nitashukuru km nitapata picha hata za 3D za design za kisasa!

nb:Si mbaya nikipata na fundi mzuri !

Manengelo
 
Tatizo kuna watu watatoa design wakiwa wamelewa yaani anaweza kukupa ramani ya uwanja wa mpira/ndege.

Nakutumia PM ramani kadhaa kabla sijaenda bar.
 
Lounge inatagemea na mambo mengi sana kikubwa kuliko zote ni Location hii ni mihimu sana.

Kwenye location sasa itadetermine mambo mengi yakiwepo security na kadhalika.

Desgne kama Desgne sio shida ila vitu kama Location ndo ina mater sana.

Na sasa Aina ya Service utakazo offa hapo.
Make nyingi huwa zina vitu kama Pombe, kahawa na misosi sasa je na wewe ni hivyo hivyo au kuna uziada?
 
Space ikiwa ya kutosha weka hata play ground kwa ajili ya watoto play ground ya kishikaji tu ili basi watu wakitinga na watoto wao wakati wanapiga story mbili tatu na watoto nao wana lukaluka hapo nje
 
Location iliyopo ni nzuri kwa vinywaj na vyakula..yes na hizo play grounds za watoto panafaa...ss nagugo naona ni expensive sana.sana...nitadekshia nitakayopata...
asante kwa mawazo yako kaka Chasha
 
Back
Top Bottom