Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngazi 5 tena?!! Hio too much. Ngazi mbili mwisho.Sebuleni unatumbukia ngazi 4 mapak 5 utadhani unaingia mgodini.
Ni KERO sana, sipendi kabisa huu ujenzi
Nyumba za marafiki zangu tabata na segerea utadhani wamejingewa na fundi mmojaNdugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa?
Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
bro umenichekesha sanaSebuleni unatumbukia ngazi 4 mapak 5 utadhani unaingia mgodini.
Ni KERO sana, sipendi kabisa huu ujenzi
Aaalaaa! kumbe. Kuna mwana kanipaulia nyumba nikamwambia sitaki paa la mwinuko kama mtungi akanambia Pythagoras acha kujenga nyumba kizamani sasa hivi tuna kwensa na wakati French style ambao ndio role model ya dunia ktk ujenzi kwa sasa. Achana na British design Pythagoras. Aisee ikabidi nikubaliane na wataalam baada ya kumaliza kuna majirani wanatamani wazifumue nyumba zao wapaue kama yangu. Imependeza balaa ila gharama imedouble cost za mwanzoHiyo design asili yake ni Ufaransa na inafahamika kama "Vous finirez seulement dans le salon, vous ne mangerez rien et dormirez, rentrez chez vous !" yaani "Utaishia sebuleni tu lakini kula huli, na kulala kalale kwenu"