Kaka it is not kwamba sitaki matumizi mazuri ya ardhi. IMHO nadhani ishu ya planning za maeneo is a bigger ishu huku bongo kuliko aina ya majengo ambazo kiukweli ni extravagant. Can we really talk about shopping malls za maghorofa wakati watu wanakwepa kodi, umeme hakuna na vitu vingine vya msingi havipo..we are serious? we need to start with simple and basic stuffs badala ya kukimbilia century ingine kwene time machine. I think kama kuna proper planning hata kuimprove in the future inakuwa rahisi maana majengo au miundiombinu ina functional time yake, so issue hapa ni kuweka vipaumbele..sadly hakuna mtu anayeona umuhimu wa town planning. Seems like everyone is busy living 'for now' and act as selfish as they could.