Designers wa jezi za Yanga wapo Simba

Hamna kitu Simba jezi bado hazina mvuto. Bidhaa inajiuza yenyewe sasa ukiona nguvu kubwa inatumika basi ujue kuna shida mahali.
 
Wao wameona Sanda tu ila kubwa kuliko lile tukio la Nov 5 hawakuona. Kazichunguze hizo jezi usipoona 1 5 zimetapakaa kwenye jezi. Nipigwe ban
Nimeziona
 
Sasa kama hazikuhusu mbona umepiga kambi kwenye uzi huu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzi unahusu design ya jezi nami nikaongelea design ya jezi imetumika kwa matokeo ya 1 5
 
Jezi za simba ni nzuri tukiongea ile haki, lile neno SANDA kulinaga ni hoja ya kitoto .

Sioni kama watu wanaweza kukaa chini na kujadili neno lile , tena wamefanya vizuri kufupisha pale kama ingekuwa neno SANDALAND ingekuwa kama jina la mchezaji ,Wamefupisha ili kupata balance ya brand zote bila ya kuharibu maana ya jezi maana ingekuwa kama gazeti.
 
Kuna jezi zimeandika FILA na watu wanavaa afu Mzee MAGOMA fc wanashangaa SANDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…