Desiigner anatumikia kifungo cha nje cha miaka 2 kwa kujichua ndani ya ndege

Yule atakuwa Debora au Diana [emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu ananusa vidole,ila kuna wadada wa ajabu na ni mrembo kumbe mchafu.
Hawa ndio wanatuponza tunatukanwa kuwa tunanuka kumbe mtu anakojoa kwenye lift halafu hanawi na anaenda kwa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Me nimeshangaa hivi ni genye gani hizo zisisovumilika,swali langu ni alikuwa haogopi ukisimama floor inayofuata mtu apande?halafu kanusa zaidi ya mara Tano🥲🥲
 
Kwanini faini kwanza halafu vipimo baadaye?

Vipimo vikija na majibu kuwa jamaa ana matatizo ya akili itakuwaje?
 
Me nimeshangaa hivi ni genye gani hizo zisisovumilika,swali langu ni alikuwa haogopi ukisimama floor inayofuata mtu apande?halafu kanusa zaidi ya mara Tano🥲🥲
Hahaa ni mwehu yule kuna jamaa kule Twitter kasema anamjua watu wameomba handle kagoma[emoji23][emoji23] ni kenya

Back
Top Bottom