Desperate Kenya waived visa for unreciprocative Mozambique

Desperate Kenya waived visa for unreciprocative Mozambique

Wewe mwana CCM,naona umeshindwa kujibu hoja za serikali yako unayoishabikia umeishia kwenda kwenye site za Wakenya na pull some guy's profile eti sababu avatar zimefanana na kujifanya ni yangu....

CCM inafanya vibaya,na uchwara anafeli...Huwezi bisha hili.
Wewe naona umechemka sasa. Umekosa hoja. Mpo wengi sana humu kwenye mitandao. Bahati mbaya tumeshawajua. Nitaanza kuwaumbua mmjoa baada ya mwingine.
 
Wewe naona umechemka sasa. Umekosa hoja. Mpo wengi sana humu kwenye mitandao. Bahati mbaya tumeshawajua. Nitaanza kuwaumbua mmjoa baada ya mwingine.

Umuumbue nani wewe mwanaCCM unaeshindwa hoja unaishia kuwapa watu uraia usiwahusu?

Ni vichekesho!
 
Kwikwikwikwikwikwikwi.

Ndio mmefundishwa Lumumba kucheka hivi?

Akimalizana na upinzani atawafuata nyie nyie humo UVCCM hakutakua na wa kuwatetea ndio mtajua vizuri

Signature yako yenyewe hapo inaonesha wewe ni kijakazi wa JPM...sijui TZ tutaendelea lini kijana kama wewe unatetea CCM,utakua zaidi ya mchawi!
 
????? What the hell are you talking about?
Never seen a visa waiver Agreement btn 2 Nations being done in a desperation manner like that! After giving Makondes in Mombasa a citizenship, Uhuru with his shallow thinking felt things will be "a walk in the park" as far as his Juakali diplomacy tells him! What a shame Kenyans will still pay a visa to enter Mozambique.
 
Ndio mmefundishwa Lumumba kucheka hivi?

Akimalizana na upinzani atawafuata nyie nyie humo UVCCM hakutakua na wa kuwatetea ndio mtajua vizuri

Signature yako yenyewe hapo inaonesha wewe ni kijakazi wa JPM...sijui TZ tutaendelea lini kijana kama wewe unatetea CCM,utakua zaidi ya mchawi!
My friend mbona wewe mshamba sana. Kwanini usifuate issue zako za Kenya? Wewe umejiunga juzi tu humu. Sisi watanzania tunajuana dogo. Hata kama tunapingana tunajuana sisi kwa sisi. You are wasting time.
Jishughulishe na mambo yenu ya Kenya okay.
 
Nakushangaa unapojipa kazi ya kunipa uraia wa Kenya..
Read my lips again..Im a Tanzanian!
Mimi sipo hapa kutetea serikali au CCM au Kenya..Nipo hapa kutetea demokrasia na ustawi wa Watz...Wewe upo hapa kutetea serikali na CCM na kupambana na Wakenya,muda huo sina....
Shida ya majitu ya CCM hua ni majinga sana!
Pitia content zangu humu sio unarukaruka kama mpuuzi.Na kama ningekua Mkenya yanini nikatae uraia wangu?For what?Nakuogopa wewe mpuuzi unaejiita "Anael"?
Jinga jinga tu.
 
Sawa,kingine?
Jaribu kujifunza nidhani na ustaarabu, unachokiamini wewe sio lazima kila mtu akubaliane nacho, jenga huja yako kistaarabu, jifunze kusikiliza mawazo ya wengine, kumbuka ukisikiliza kuna uwezekano wa kujifunza kitu kipya, ila ukizungumza huwa unayarudia yale yale uliyokwisha kuyajua.
 
Visa waiver should be bi-lateral. Kenya ni kama malaya anayeenda kujiuza kwa bei ya bure
Hukurupuka walipoona tunaingia SA bila visa nao mbio wakaondoa visa kwa SA wakaumbuka baada ya serikali ya SA kuuchuna bila kufuta visa kwa Wakenya. Wakanung'unika mpaka kuna wakati wakazuia Wa-SA wasiingie Kenya bila visa Ilam baada ya mda wakanywea. Ngoja tuone na hili la jipya.
 
Jaribu kujifunza nidhani na ustaarabu, unachokiamini wewe sio lazima kila mtu akubaliane nacho, jenga huja yako kistaarabu, jifunze kusikiliza mawazo ya wengine, kumbuka ukisikiliza kuna uwezekano wa kujifunza kitu kipya, ila ukizungumza huwa unayarudia yale yale uliyokwisha kuyajua.

Preach,preach...
Naona umegeuka muhubiri injili!
Anything else?
 
Hukurupuka walipoona tunaingia SA bila visa nao mbio wakaondoa visa kwa SA wakaumbuka baada ya serikali ya SA kuuchuna bila kufuta visa kwa Wakenya. Wakanung'unika mpaka kuna wakati wakazuia Wa-SA wasiingie Kenya bila visa Ilam baada ya mda wakanywea. Ngoja tuone na hili la jipya.
Kenyatta anajaribu kufanya heart trick kulipiza Magufuli alivyobomoa CoW. Hawaijuwi Nyusi anaongea kiswahili cha Tanzanian so as Chisano na Joseph kabila.
 
Hukurupuka walipoona tunaingia SA bila visa nao mbio wakaondoa visa kwa SA wakaumbuka baada ya serikali ya SA kuuchuna bila kufuta visa kwa Wakenya. Wakanung'unika mpaka kuna wakati wakazuia Wa-SA wasiingie Kenya bila visa Ilam baada ya mda wakanywea. Ngoja tuone na hili la jipya.[/QUOTE . wewe Mena koko juzi ndiyo mlifurushwa na kunajisiwa huko
 
Kuna nati imelegea kichwani suala hapa ni visa waiver huwa bilateral agreement btn 2 nations, na mbona mnajishusha hivyo?
 
Nyang'au hanaga nia njema kwa jambo lolote ndo maana haaminiki ona sasa anajikombakomba na wenzie wanambania
 
Back
Top Bottom